Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Hata mie inanisukuma niamini kwa kweli, hakiwezekani hata 7 hakijaisha kufanya hayo anayoyafanya
Hiyo ni kila mtu anaamini hivyo,,sasa mbaya zaidi na hicho anagombea aje akikose,,,,aisee!!!! Ataumia Mara 2
 
Du au ndo mana kina mb mbwa, y antony na wasanii wengine wa tipdown Connection walipojitoa hawakuvuma tena? Unafungwa nyota kaz inakua imeishia hapo
 
There is no single perspective in any aspect of life, currently most vuvuzelas are dubiously imitating Western culture, and yet they can vomit shit in a perceived and barbaric presumptions only. Please, kindly live ur contemporary in all aspects. Dynamics should not be by skewness only.
 
Hasa alipokuja Mh. flani ambaye ameachiwa jukumu la watoto na ambapo Mke alienda kule kuacha wosia basi kilio kikapandishwa weeeeeee.....lakini ukiendelea kuangalia picha na matukio unaona kabisa ni mapichapicha..................mbaya zaidi haya mambo hayajifichi SIJUI NI KWANINI
Inamana mke alijua kwamba anaondokA? Jamani imagine nafsini mwake alikua anawaza nn pindi akiwaza wanawe atavyowaacha day,
 
Kuchangamsha genge kwenye maisha ya mtu?.
Mnadhani babu tale atajisikiaje akijua kuwa mnamjadili humu amemtoa kafara mkewe?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mbona na wewe upo hapa kujadili Mambo ya tale sioni utofauti wangu wa Mimi na wewe, yeye mwenyewe alisema ni muganga ndio maana watu Wana hisi kafanya yake, by the way hii mada sio kutoa kafara ni issue yake hata week haijaisha kaanza hzo kampeni za ubunge wakati mchakato wa chama bado.
 
There is no single perspective in any aspect of life, currently most vuvuzelas are dubiously imitating Western culture, and yet they can vomit shit in a perceived and barbaric presumptions only. Please, kindly live ur contemporary in all aspects. Dynamics should not be by skewness only.
You have said there is no single perspective in life aspects so if someone lean on western culture that is how he perceives life, because we all perceive it differently.western culture is not bad at like education, technology.
 
Comrade, am particularly not against Tale, am quite pissed off by those fools who are sitting on barbarian perspective only. Let's be balanced and fair, if ur gone it's gone
 
Thibitisha unaloongea
Fuatilia mkuu,, wazungu,wahindi ,,waarabu wachina wametuzidi sana uchawi....tatizo letu sisi Africans ni roho mbaya na chuki ndy zinatusumbuwa,,kwa hilo tumewazidi wazungu..huko ulaya wapo wapiga ramli,,wapo waganga pia,,,kwa taaluma zao..Kama hujuwi mkuu...
 
Walitaka ajifungie chumbani huku akilia?
Hao ndugu hakuna hata aliechangia bili ya marehemu jap buku tu huko.Aga Khan
 
Wanataka muda gani upite ndio akagombee?
kitendo cha hata siku 5 hazijafika kusema Nitaweka kambi Morogoro goro,,means hana uchungu wowote wala majonzi ya msiba,,hicho ni kipimo tosha cha kile kilio chake kisichokuwa cha machozi...tena watu wamemsihi aachane na mipango hyo kwa sasa,,lakini bado kashikilia msimamo wake,,huoni kama kuna kitu anakijuwa?
 
Kuna mtu anasema ubunge ataishi maisha mazuri kuliko sasa najiuliza huwa wabunge wanalipwa 12m kwa mwezi ila yeye manager show ya msanii wao wananegotiate hadi 100m na walisema kila mtu anapercent yake kwenye hiyo hela tuseme kwa show moja manager anakula 15mna msanii wao huwa unaweza kuta kwa mwezi mzima yuko booked au hata miezi miwili so anauhakika wa kuwa na more than 50m kwa mwezi inakuaje sasa mbunge akawa na maisha mazuri kuliko manager? Au vikao hivyo anawaza per day ni 300k lakin hapo hapo ni kula kodi ya nyumba dodoma kama hajajenga na dereva wake hapo hapo wakat yeye manager show za nje ya mkoa au nchi wanalipiwa kila kitu iweje mtu aseme ubunge ubaishi maisha mazuri kuliko umanager anaofanya? Au ndo tuamini kwamba hii industry ya music hailipi bongo ndo maana kashindwa kujenga huko kwao na bado mjini bado kapanga? Au kazi zake zinamtaka aishi kwa kupanga mjini maana angejenga Goba au Msakuzi au Madale atakosa wadau wa shows? Au huko mbali atakapokaa hamna network so negotiation za shows kwa emails itakua shida? Hii industry ina makandokando mengi sana bila kureason utakua unashabikia kitu usichojua kiundani.
 
tuache mawazo mgando, maisha lazima yaendelee acha aanze mchakato wake, mbona wengine wanazika leo kesho harusi.
 
Kuchangamsha genge kwenye maisha ya mtu?.
Mnadhani babu tale atajisikiaje akijua kuwa mnamjadili humu amemtoa kafara mkewe?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Anapaswa ajuwe damu ya mtu haipotei bure...unadhani kitendo cha yeye kuendelea kugombea uongozi hata kabla ya siku 7 za mauti ya mkewe kupita,, jamii itamuelewaje?akitaka asieleweke vibaya basi aachane na mpango huo,,,,halafu fuatilia kile kilio chake msibani mbona machozi yalikuwa hayatoki? zaidi ya kutingisha kichwa na kulia kwa ishara...machungu ya kweli hayajifichi mkuu..
 
Kwani UCHAGUZI LINI?

Ningekuwa nasapoti haya mnayosema ndo ungesema ni umbea.
Mwanaume hauwezi ukakaa kujadili maisha ya mwenzio. Hata kama babu tale kafanya hayo mnayosema mwanaume wa kweli hawezi kushangaa maana ni mambo ya dunia yapo.
Ila muwe na uhakika.
Na msimpangie mtu aishi vipi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hivi ingekuwa aliyetolewa kafara ni binti yako,,au ndugu yako ungesema mambo ya dunia?wale watu wote waliopo magerezani hawakufanya ya dunia? mbona wamehukumiwa? mlozi hana option ikifikia kipindi cha kafara,,,,utapewa sharti utoe mwanao tena unayempenda,,au mke....yeye tale kachaguwa kutoa mke,,,kwa anachokifanya sasa ,,ni athari za damu ya mkewe kujidhihirisha maovu yake,,na atafanya mengi ya aibu kabla ya 40 ya mkewe.....na tunamjadili tale kama tunavyowajadili walozi na washirikina wengine..
 
Mkuu,

Mula umenena maneno kuntu sana

Hilo lijamaa halina soni kabisa na yawezekana

maneno yanayosemwa hapa na wadau yakawa ya kweli.

Hivi kweli cheo kina thamani kushinda utu?

Ama kweli wonders shall never cease.
Mang'ana wasalikike mulaaaaa....
 
Back
Top Bottom