Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Aisee ogopa sana watu wenye tabasamu kama lote......kuna tabasamu flani hivi lilikuwepo kati yao halafu bidada alikuwa na kicheko flani mtu anayedeal na mambo ya councelling ni rahisi kudetect tatizo, alikuwa anacheka kama anamuendelezo wa kitu flani then anaongea anapiga stop na tabasam HATARI SANA.
Kwahio alikuwa anaumia ndan kwa ndani ryt?
 
Niliwahiona hiyo taarifa ilinishangaza, nakubaliana na wewe kwamba Nje wanatofautiana kidogo na huku sababu ya ubora wa maisha na maendeleo halisi yaliyopo kule, nchi za wenzetu watu wanajielewa hivyo kukosolewa nje nje chaap tu, huku kuna tatizo lengine la uelewa ambalo ndo linapelekea kuwepo na majanga mengine kijamii na hasa kwenye hiyo sanaa yenyewe.
Yeah .. Mimi nimewahi kuwa katika industry ya music long time kidogo .. Ukiwa unataka kutoka na u -hit lazima kuna mambo mengi ya uongo udanganye danganye ili uweze kupata kuwin mioyo ya hadhira ...moja ya mambo hayo lazima u-create story ya udanganyifu inayo husu maisha yako strory ambayo itakuwa inasikitisha sikitisha ili upate sympathy toka katika society kisha unampatia muandishi story hiyo ana i-edit na kuipublish katika magazeti au online .....

Pia kwa miaka ile ambayo social network zilikuwa bado hazi take over Africa ... Hapa bongo mastar walikuwa wanamlipa shigongo then wana tengenezewa fake scandal ili wa hit ... Full propaganda

So kwa sisi wengine tunaoelewa hiyo michezo huwa tuna wachora tu vijana jinsi wanavyo geuzwa mapopoma mpaka wanakuwa mashabiki maandazi
 
Kwani hawezi kuomboleza huku anaendelea na shughuli zake? Kwani Mbunge/Kiongozi akifiwa na Mwenza na shughuli zote huwa zinakoma?
 
Wasalaam,

Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM.

Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia, na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye akasahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana.

Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale anatarajia kwenda kuweka kambi Morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa Morogoro Mjini.
Sioni kama sababu ya kufiwa ni sababu ya msingi ya yeye kutogombea ubunge.

Maisha lazima yaendelee.
 
Maisha lazima yaendelee,hata akijivundika "eda" mwaka mzima hakuna jipya.

Watu wanafiwa mke leo mwezi ujao anaoa mwingine rasmi itakuwa hiyo ya kutafuta mkate week baada ya kufiwa?
 
Back
Top Bottom