Babu Tale, Comming 2 America ipi tena jamani?

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
250
500
Meneja wa Daimond Platnumz Babu Tale ameandika kwenye ukurasa wake kwamba wimbo wa Haleluya wa msanii huyo japo ulikataliwa na basata lakini umetumika kwenye filamu ya Coming to America 2 Hata hivyo filamu hiyo nimeiangalia sijaona popote ambapo wimbo huo umetumika na hii ni orodha ya soundtrack zote zilizotumika kwenye Comming 2 America

Original Motion Picture Soundtrack (OST) from the film Coming 2 America (2021). The music by various artists.

Source: Coming to America 2 Movie
Genre: Amazon Original Motion Picture Soundtrack
Music by Various Artists
Label: Def Jam Recordings
Format: Digital, CD
Pre-order Date: January 29, 2021
Release Date: March 5, 2021

Coming 2 America (also known as Coming to America 2) is a 2020 comedy film, a sequel to the 1988 film of the same name. The film is directed by Craig Brewer, stars Eddie Murphy, Arsenio Hall, Jermaine Fowler, Leslie Jones, Tracy Morgan, KiKi Layne, Shari Headley, Teyana Taylor, Wesley Snipes, James Earl Jones, John Amos, Rotimi, and Vanessa Bell Calloway.

The soundtrack album is available for order on Amazon and Apple Music, see links on this page.

Tracklisting
1. Gett Off – Teyana Taylor feat. Jermaine Fowler & Brandon Rogers
2. I’m A King – Bobby Sessions & Megan Thee Stallion
3. We Got The Moves – Beau Young Prince
4. Koroba – Tiwa Savage
5. Go Big – YG & Big Sean
6. Smash The Crowd – Public Enemy, Ice-T & PMD
7. Assurance – Davido
8. Waka Waka – Tekno
9. Midnight Train From Zamunda – Gladys Knight
10. Whatta King / We Are Family Mashup – En Vogue, Salt-N-Pepa, Randy Watson & Sexual Chocolate
11. These Streets – Mi Casa
12. Coming 2 America – John Legend, Burna Boy & Nile Rodgers


ipijamani.jpg


ipitena.jpg
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,554
2,000
Acha ujuaji. Wimbo sio lazima uusikie kwenye movie. upo kwenye tracklist/ Rythm za hiyo movies
 

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
250
500
Acha ujuaji. Wimbo sio lazima uusikie kwenye movie. upo kwenye tracklist/ Rythm za hiyo movies
Haya mimi naacha ujuaji, sasa traclist/ rythm ndiyo nini? Wimbo upo kwenye album iitwayo rythms of zamunda na siyo coming 2 amrica
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom