Babu Tale athibitisha kuwa baada ya wiki mbili Zari na Diamond watafunga ndoa

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,116
2,000
Kayathibitisha hayo kwenye sherehe ya harusi ya Rommy Jons ambaye ni official dj wa Diamond. Babu Tale kauambia umma kupitia sherehe hiyo kuwa harusi ya Diamond na Zari ndo inayofuata baada ya majuma mawili kupita.

Kama aliyoyasema babu Tale ni ya kweli basi nawatakia maandalizi mema ya harusi yenu. But kwenye ukweli lazima niseme Diamond una moyo wa kiume na unafaa kuigwa na jamii kwa mzigo ulojitishwa, coz baada ya miaka kama mitano ijayo mke wako mtarajiwa anaingia menopause huku wewe ukiwa bado kinda kabisa najaribu tu kukukimbusha, but yote kwa yote waswahili wanasema, kipendacho roho.

Kila la kheri bwana mkubwa Naseeb na mpenzi wako kipenzi Zari.
 
majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,146

Hebu nambie kwani akiingia menopause ndio inakuwaje? hawezi kugegedwa tena? kama ni watoto nadhani wanamtosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom