Babu Tale anazunguka na Msanii (Diamond) wakati Jimboni wananchi wanakunywa maji kwenye madimbwi

Yani bongo bwana watu wana akili ndogo sana wanataka ukiwa mwalimu.ufundishege usifanye mishe zingine.

Watu wa aina yenu mkiwa maboss ndio huwa mnakua na wivu mkiona mtu anajishugulisha na inshu zaidi ya moja...
mnakua = mnakuwa; inshu=ishu; Kwahio =kwa hiyo;
 
Nenda kabishane na wikipedia ama brela wanaposajili makampuni... kwani asilimia 45 za wasafi media hazimiliki yeye, zuckerberg anatambulika kama mmiliki wa facebook ila ana share asilimia ndogo facebook kuliko hata za diamond na wasafi media
M'bongo akianza kutoa povu kubishana na kutetea mali ya mtu mwingine unaweza kudahni analipwa kwa kazi hiyo. Unaweza kwenda kijiweni ukakuta watu wanashikana mashati kutetea utajiri wa mtu wakati yeye hata sabuni ya kufua inamshinda. Mchango wako ni typical Bongo mindset.
 
Tanzania yetu ina mambo ya kushangaza sana.

Kuna wabunge wengine kama Tale ni wa hovyo hovyo kweli .Kwahiyo anajaribu kuonyesha nini? Sadala mmoja ana nguvu kuliko wale wana wa mashariki? EEh Mungu tuvushhe baba
 
Waziri wa maji hajui hilo?
Inakuwaje Mbunge Anazunguka Na Msanii Wakati Jimboni Wananchi Wanakunywa Maji Kwenye Madimbwi,Ifike Mahala Terms Za Kiongozi Anaewakilisha Wananchi Zibadilike.

Rasimu ya Warioba ilitupa wananchi mamlaka ya kuwajibisha wabunge wakaleta uhuni
 
View attachment 1841366
Ndio awamu ya 5 imetupeleka huko yani sijui jamaa alikuwa anatupeleka wapi
 
Inakuwaje Mbunge Anazunguka Na Msanii Wakati Jimboni Wananchi Wanakunywa Maji Kwenye Madimbwi,Ifike Mahala Terms Za Kiongozi Anaewakilisha Wananchi Zibadilike.

Rasimu ya Warioba ilitupa wananchi mamlaka ya kuwajibisha wabunge wakaleta uhuni

View attachment 1841366
Huyu ni mhuni aliyewekwa bungeni,. Hajawahi kuwa hata Mjumbe wa mtaa. Tumejaza wahuni tupu.
 
Ubunge uskien tu....kama mbunge hana stratergy atajuta..ndomana weng hawaish majimbon.....unaamka unakuta wamamchi kama 20 kiiila siku kila m1 kaja kupiga kizinga chake..hahahaha

Acha kabisa..
Kuna Mbunge mmoja alilia mbele yangu nilienda kwake asubuhi na mapema wenye jimbo lao wakamletea tabu zao na shida zao nilikaa nae wiki nzima ilikatika kama 50M kasema ni sifa tu ila Ubunge bila uwaziri ama kuwepo katika ujumbe wa mashirika ya umma ni njaa.
 
Back
Top Bottom