The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 557
Mods, naona kuna threads tatu zinazomuhusu babu seya inabidi zote ziunganishwe ibaki moja!
Sabi mbona sikuelewi?
Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?
Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?
Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.
sidhani kama sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na babu seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya hukumu ya kesi ya babu seya katika mahakama kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe.
Tazama attachment hapo chini.
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].
Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed case report at the lower courts on this case?
Tatizo hapa sio hukumu, ila mazingira ya kesi yalionesha utata, ndio maana watu walipiga kelele sana, na mpaka sasa bado wanapiga kelele, hapo lazima uchunguze ni kwa nini wanapiga kelele kwa nguza na sio kwa wengine waliowekwa ndani?Sidhani kama Sabi alishawahi kusoma kilichofanywa na Babu Seya. Ili kumsaidia tu ngoja nikuwekee nakala ya Hukumu ya kesi ya Babu Seya katika Mahakama Kuu ambayo ndiyo hukumu iliyokatiwa rufaa. Mkimaliza kuisoma ndiyo tuendelee na mjadala. Mimi nitajitahidi nisichangie. Nitawaaachie wenyewe.
Tazama attachment hapo chini.
This is going too far, Hii rufaa haijasikilizwa, kwa hio sio busara wanaJF sasahivi kuanza kucomment and or look at the meris of the appeal. Tuache waliopewa kazi hiyo kisheria na kikatiba waifanye kwa jinsi utaratibu unavyowataka wafanye. Mods tuangalie msijiingize kwenye masuala yanayoweza kuleteleza contempt of court kwani kujadili kesi ambayo iko pending ni kosa.
Msaada tafadhali.
Ni sheria gani inayokataza kujadili kesi ambayo iko mahakamani?
Sabi mbona sikuelewi?
Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?
Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?
Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.
Mlio na habari kuhusu kuachiwa kwa akina babu Seya tupeni habari sasa!jamani Nauliza rufaa ya kina Babu Seya inasomwa lini ? maana nimeota kuwa jamaa wameachiwa huru, huru kabisa.