Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

!
!
Mange Kimambi atambuliwe kama *Mheshimiwa Nabii Mtume Mange Kimambi* hili la Familia ya Babu Seya alilitabiri kitambo kidogo
[HASHTAG]#TunafukuaMakaburi[/HASHTAG]
 
Miaka 14 ya Babu Seya na Papii waliyokaa jela kama kuna watoto waliobakwa sasa watakuwa wamezidi miaka 18.

Kama ni hivyo je haitakuwa jambo jema sasa wajitokeze watuambie kama kweli au magumashi?

Maana sijawahi kumwona hata mmoja ambaye amejitokeza kusema Babu Seya na wanawe walimbaka.

Huu ni wakati muafaka tuwaone ili tuwe na cha kuzungumza, vinginevyo kesi ilikuwa fake.
 
Mchunguze nini tena watoe ushuhuda wa nini? Kwamba mtawahukumu tena? Kwa wahanga huko kuachiwa tu maumivu, sasa wewe unataka waanze kuuelezea umma jinsi walivyochezewa. Katika nchi yetu hii ambapo vitu vya kila siku havipewi kimbaumbele, sembuse mambo ya nadra/ kificho kama kuchezewa kwa watoto na watu wazima, unafikiri wamepata ushauri nasaha kuwatuliza akili/fikra zao? Hayajakupata bila shaka, usitake kuamsha machungu ya wenzako.
 
Hivi hiyo idadi ya watoto inayotajwa mbona ni kubwa sana, 10! Mwenye uelewa na hii kesi atudokeze
 
Kama kweli walibakwa hawawezi kujitojeza, kama angaliku ni mwanangu miongoni mwa waathirika na kwa jinsi nilivyokua "psycho" muda huu ningekua na plot "revange" na kuhakikisha nawapoteza hao jamaa kwa kwa njia moja very "gruesome" ili iwe fundisho kwa wengine pamoja na "JPM"
 
Wajitokeze waseme ukweli Wa mambo,japo haaingii akilini watu wote hao kudanganya hasa ukizingatia madoctor nao walidhibitisha! Km sample zipo vifanyike vipimo vya DNA tena km vp
 
Mchunguze nini tena watoe ushuhuda wa nini? Kwamba mtawahukumu tena? Kwa wahanga huko kuachiwa tu maumivu, sasa wewe unataka waanze kuuelezea umma jinsi walivyochezewa. Katika nchi yetu hii ambapo vitu vya kila siku havipewi kimbaumbele, sembuse mambo ya nadra/ kificho kama kuchezewa kwa watoto na watu wazima, unafikiri wamepata ushauri nasaha kuwatuliza akili/fikra zao? Hayajakupata bila shaka, usitake kuamsha machungu ya wenzako.
Nashukuru mkuu kwa mtazamo wako huku nzuri, watu wanahusisha kufungwa kwa babu seya na mzee wa msoga, watz kama tulivyo vitu vya uwongo na uzushi ndio vinapewa vipaumbele kuliko ukweli. Wakati hili sakata linaanza nilikuwa naishi Jirani na mtaa aliokuwa anaishi babu seya, s/m mashujaa sinza kama sikusahau jina la shule. Ivi MTU anaweza kupika tukio kubwa namna hiyo lihusishe umma wote huu bila kutokea hata jaji au wakili wa kulizuia? Sisemi kwamba maamuzi yote ya mahakama ni ya haki lakn kwa hili hakukuwa na uwezekano wa kupika kitu
 
Mkuu usijisumbue na watu ambao hawawezi kukuelewa kwa sababu ya fikra zao ndogo,wanafurahia jambo hili bila kuvaa viatu vya watoto wale na wazazi na mtu kujiweka ndio mzazi wa wale watoto.Siasa ikiingia katika kila jambo madhara yake ni makubwa.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Nashukuru mkuu kwa mtazamo wako huku nzuri, watu wanahusisha kufungwa kwa babu seya na mzee wa msoga, watz kama tulivyo vitu vya uwongo na uzushi ndio vinapewa vipaumbele kuliko ukweli. Wakati hili sakata linaanza nilikuwa naishi Jirani na mtaa aliokuwa anaishi babu seya, s/m mashujaa sinza kama sikusahau jina la shule. Ivi MTU anaweza kupika tukio kubwa namna hiyo lihusishe umma wote huu bila kutokea hata jaji au wakili wa kulizuia? Sisemi kwamba maamuzi yote ya mahakama ni ya haki lakn kwa hili hakukuwa na uwezekano wa kupika kitu
Ni kweli mkuu,siamini hata mimi kwamba High court,High court appeal,Court of appeal,African petition wote wafanye uonevu bila kufuatta sheria wala mawakili wao wote na rufaa zote washindwe tu?something is right here hata kama ni % itazidi 75 na maybe the remaining 25 ndio inaweza kuwa exaggeration.
 
Kama kweli walibakwa hawawezi kujitojeza, kama angaliku ni mwanangu miongoni mwa waathirika na kwa jinsi nilivyokua "psycho" muda huu ningekua na plot "revange" na kuhakikisha nawapoteza hao jamaa kwa kwa njia moja very "gruesome" ili iwe fundisho kwa wengine pamoja na "JPM"
Tufanye kama Babu Seya angekuwa ndio baba yako mzazi ungefanyaje kwa mfano?
 
Nashukuru mkuu kwa mtazamo wako huku nzuri, watu wanahusisha kufungwa kwa babu seya na mzee wa msoga, watz kama tulivyo vitu vya uwongo na uzushi ndio vinapewa vipaumbele kuliko ukweli. Wakati hili sakata linaanza nilikuwa naishi Jirani na mtaa aliokuwa anaishi babu seya, s/m mashujaa sinza kama sikusahau jina la shule. Ivi MTU anaweza kupika tukio kubwa namna hiyo lihusishe umma wote huu bila kutokea hata jaji au wakili wa kulizuia? Sisemi kwamba maamuzi yote ya mahakama ni ya haki lakn kwa hili hakukuwa na uwezekano wa kupika kitu
Sasa ndio umeongea nini??
 
Ni kweli mkuu,siamini hata mimi kwamba High court,High court appeal,Court of appeal,African petition wote wafanye uonevu bila kufuatta sheria wala mawakili wao wote na rufaa zote washindwe tu?something is right here hata kama ni % itazidi 75 na maybe the remaining 25 ndio inaweza kuwa exaggeration.
Kwani hizo COURTS ulizotaka zilifanya uonevu wapi??
Ziliwapata na hatia.
Ila WAMESAMEHEWA.
 
Back
Top Bottom