Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo

with regards and respect.

===================

ONLINE REPORTER,
11th February 2010
Daily News

THE Court of Appeal has sustained both conviction and life imprisonment sentence against Nguza Viking and Papii Nguza for raping minors, but acquitted Nguza Mbangu and Francis Nguza of the charges.

Nguza Viking alias Babu Seya and his three sons, were serving life jail terms for raping and sodomising minors about seven years ago.

The rulling which was read this morning for two hours by Deputy Registrar of the court, Ms Neema Chusi, turned the court into a furneral like situation, whereby the three appellants, together with their relatives cried loudly.

Papii Nguza is the only one that did not cry.

The appeal was heard by Justices Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk and Salum Massati. Advocates Mabere Marando and Hamidu Mbwezeleni, represented the appellants.

Fungua Kiambatanisho kusoma hukumu.

=====

UPDATE:

Hatimaye waachiliwa kwa msamaha wa Rais. Habari zaidi soma...

Breaking News: - Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli
 

Attachments

  • Hukumu ya Nguza Viking (Babu Seya) and Papii Nguza.pdf
    3 MB · Views: 281
Mahakama imeamua kuwaachia Francis na mtoto mwingine wa Nguza Viking huku Baba yao na kaka yao Papii Kocha wakianza kutumikia kifungo cha maisha
 
jamani wenye data zaidi mngetuhabarisha,

wametumia kigezo gani kuwaachia hao wawili na kuwahukumu wengine? maana ninavyojua kesi hii ni moja na wote wanne wameshitakiwa kwa kufanya hilo kosa, sijui lakini sheria inasemaje kwenye hili,

wenye data
 
naomba kuwasilisha ombi la kupatiwa taarifa ya kinachoendelea kwa rufaa ya kesi ya babu seya na wanae huko mmahakamani , kwa aliyepo tafadhali tupashe habario.
with regards and respect.

Watoto wawili wameachiwa huru ila Babu Seya na Papii Kocha wanaendelea na kifungo cha maisha
 
Mahakama imeridhika na ushahidi kuwa hawa wawili ndio waliohusika na tendo la kubaka hivyo kuwatia hatiani.

nyamayao aksante kwa kurudia jina lako la ubatizo.
 
Hii kesi imejaa utata mtupu,, keso moja inakuwaje wengine wafungwe na wengine watoke
 
Niko maeneo ya mahakamani - Ndugu na jamaa zao wanalia kwa uchungu hawaamini kilichotokea mpaka saa hii
 
ninazo feelings kuwa ushahidi haukuwa makini,kwani umefanyika kwa siri sana tena hakuna upande ulio huru!incase inasemekana ni kulipiziana mmh ndo hivyo tena!
 
Mbona nimeumia sana ,..hapa nilipo naona disikashion imeanza kuwa babu seya alimyanganya Mheshimiwa Tonge mdomoni so hawezi kutoka mbona nakuwa confused kabisa
 
nimesikitika......

nilikumis 'Nyamanyao' dear!!!
umesikitika nn? kuachiwa au kufungwa maisha?
unaujua undani wa issue yenyewe?
Tuhuma za kulawiti watoto bana......kama kweli mm naona wapewe maisha, na viboko 10 kila siku!
 
Back
Top Bottom