Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

Hii kesi imejaa utata mtupu,, keso moja inakuwaje wengine wafungwe na wengine watoke

Yaani!
Hivi kwa wale walioachiwa kwa kuwa ushahidi umeonyesha kuwa hawana makosa, je hakuna wanalowezakufanya kama kudai fidia kwa kuwekwa ndani kwa muda wote huo wakati hawana makosa? Najaribu tu kufikiria the loss walioipata muda wote waliokuwa ndani? mfano yule Francis si alikuwa anasoma au? maana nakumbuka wakati anafungwa he was only 17 yrs kama sikosei
 
naomba kuwasilisha ombi la kupatiwa taarifa ya kinachoendelea kwa rufaa ya kesi ya babu seya na wanae huko mmahakamani , kwa aliyepo tafadhali tupashe habario.
With regards and respect.

babu seya kapigwa maisha jela pamoja na papii kocha..
Wengine wameachiwa huru
 
Naomba kuuliza kuanzia hapa sasa uhusiano wetu na kongo itakuwaje au walishakana uraia hawa watu

Shy hili ni swali gumu sana ..hata hao mawakili wamekubaliana na hiyo Hukumu
>>ukweli uko wapi ??
Namkumbuka Seya wa Miparo jamani papiii kipaji kimefifia ,kipaji kimezimwa kama mshumaa katika upepo ....
 
mfano yule Francis si alikuwa anasoma au? maana nakumbuka wakati anafungwa he was only 17 yrs kama sikosei

Yap alikuwa kidato cha pili! Na wale watoto sasa watakuwa form one ama darasa la saba na hadi form 2!

Nani awalipe? Serikali ama wale wazazi?

Inasikitisha lakini bado sijaujua undani wa tuhuma zenyewe!
 
umesikitika nn? kuachiwa au kufungwa maisha?
unaujua undani wa issue yenyewe?
Tuhuma za kulawiti watoto bana......kama kweli mm naona wapewe maisha, na viboko 10 kila siku!

kufungwa maisha ......kulikuwa na minong'ono mingi sana juu ya hili shauri mpaka watu kufikia kusema kuna siasa humo......ni ngumu kuamini mfumo wetu wa mahakama wakati mwingine

sifurahii watoto kulawitiwa hata siku moja ila mazingira ya shauri hili yamekuwa tata toka awali
 
Mahakamani hakuna haki ni Nani mjuzi zaidi wa sheria wala duniani hakuna haki.
HAKI ipo kwa MUNGU peke yake(kila mtu atalipwa kutokana na matendo yake)

Dear Charity maneno yako nimeyasoma na yamanifunua kitu
hapa duniani hakuna haki so anything can happen
lakini tukifika Mbinguni hukumu itakuwa kila mtu na alivyotenda
Ubarikiwe
 
Hii kesi imejaa utata mtupu,, keso moja inakuwaje wengine wafungwe na wengine watoke

hilo linawezekana kabisa mahakamani kwa sabau kila mtu anatolewa ushahidi ambao utam-incriminate kwenye kosa. Kwa hivo kama hakuna ushahidi wa kutosha uliotolewa kufanya hao waonekane walishiriki kutenda kosa ni wazi lazima waachiliwe huru!!
 
hivi mnasikitikia wabakaji? tuna tatizo ewe Yehova.!!

Mwanakijiji wewe una uhakika kuwa walibaka ? swala hapa linavyoangaliwa haya mambo hayaeleweki eleweki ndo maana tunashangaa
Kama wote walibaka kwanini wawili watoke wawili wabaki wakati tendo ni lile lile??KUbAkA
 
nawaomba wadau katika hili tusiendeshwe na hisia za huruma na mapenzi kwa wanamuziki na familia ya nguza na papii kocha...kama tunaamini kuwa MAHAKAMANI ndiko haki iliko na hutendeka...basi si busara kuweka hisia zetu juu ya haki...

Wapi zombe leo??..je sio mahakama iliyotenda haki kumwachia huru???...fransis nguza na mdogo/kaka yake wapo wapi leo...sio mahakama ilotenda haki kuwaweka huru??...je kwanini tuongozwe na hisia kulalamikia wapendwa wetu wawekwe huru hata kama mahakama imewaona na hatia???

NAOMBA WANA JF TUONYESHE UKOMAVU WA MAWAZO NA FIKRA ZETU PIA KATIKA HILI LA UTENDAJI WA MAHAKAMA ...CHOMBO PEKEE DUNIANI KOTE KINACHOAMINIKA KWA KUTENDA HAKI NA MAAMUZI SAHIHII...
ni maoni tuu..
 
Yap alikuwa kidato cha pili! Na wale watoto sasa watakuwa form one ama darasa la saba na hadi form 2!

Nani awalipe? Serikali ama wale wazazi?

Inasikitisha lakini bado sijaujua undani wa tuhuma zenyewe!

hii ya kulipwa naizungumzia kwa ujumla pale ambapo mtuhumiwa amekaa miaka ndani halafu ikajajulikana kuwa hana hatia-hatakiwi kudai fidia ya kupotezewa muda?

Hivi yule mwalimu aliyekuwa anawapeleka wale watoto alishindaje shindaje ? Uwii samahani naona tunariishana nyumba kule kwenye sheria room kulikuwa na maelezo mazuri ya jinsi hawa walivyohusika kwenye ubakaji huu.
 
hoooo dearest, nimerudi kwa nguvu mpya.

warmly welcome dearie!!

nawaomba wadau katika hili tusiendeshwe na hisia za huruma na mapenzi kwa wanamuziki na familia ya nguza na papii kocha...kama tunaamini kuwa MAHAKAMANI ndiko haki iliko na hutendeka...basi si busara kuweka hisia zetu juu ya haki...

Wapi zombe leo??..je sio mahakama iliyotenda haki kumwachia huru???...fransis nguza na mdogo/kaka yake wapo wapi leo...sio mahakama ilotenda haki kuwaweka huru??...je kwanini tuongozwe na hisia kulalamikia wapendwa wetu wawekwe huru hata kama mahakama imewaona na hatia???

NAOMBA WANA JF TUONYESHE UKOMAVU WA MAWAZO NA FIKRA ZETU PIA KATIKA HILI LA UTENDAJI WA MAHAKAMA ...CHOMBO PEKEE DUNIANI KOTE KINACHOAMINIKA KWA KUTENDA HAKI NA MAAMUZI SAHIHII...
ni maoni tuu..

kweli ni maoni (kama nilivotoa yangu) tu na tunayaheshimu!!

I know you do care!!!
 
nawaomba wadau katika hili tusiendeshwe na hisia za huruma na mapenzi kwa wanamuziki na familia ya nguza na papii kocha...kama tunaamini kuwa MAHAKAMANI ndiko haki iliko na hutendeka...basi si busara kuweka hisia zetu juu ya haki...

Wapi zombe leo??..je sio mahakama iliyotenda haki kumwachia huru???...fransis nguza na mdogo/kaka yake wapo wapi leo...sio mahakama ilotenda haki kuwaweka huru??...je kwanini tuongozwe na hisia kulalamikia wapendwa wetu wawekwe huru hata kama mahakama imewaona na hatia???

NAOMBA WANA JF TUONYESHE UKOMAVU WA MAWAZO NA FIKRA ZETU PIA KATIKA HILI LA UTENDAJI WA MAHAKAMA ...CHOMBO PEKEE DUNIANI KOTE KINACHOAMINIKA KWA KUTENDA HAKI NA MAAMUZI SAHIHII...
ni maoni tuu..

Who cares umesema vema
Na kwa wale ambao wangependakujua kesi ilivyokuwa na ushahidi wote waende wakatafute ile thread kwenye chumba cha sheria jamani tusirudi nyuma.
 
Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!

Upande wa mashtaka umeweza kuthibitisha pasipo kuacha shaka yoyote kwamba hao wawili (Babu Seya na Papii) ni wabakaji na hivyo hukumu waliyopewa wanastahili kwa mujibu wa sheria za Tanzania.
 
Back
Top Bottom