BAADA YA HIYO SHOW MPELEKEENI NA VITOTO VYENU NYIE MAFISIEMU NA WANAHARAKATI WA HAKI ZA WATOTO WA KIKE MUIBUENI WALE WALIOBAKWA TUPAMBANE NA UDHALILISHAJI WA MAHAKAMA ZETUNapita.......
Ova
Sijui ukweli wa makosa na kifungo cha hawa watu, kwa hiyo sintotoa maoni yangu
Wangewaachia tu huru hawa jamaa
Kwa mazingira ya kiafrica baba kuvua nguo pamoja na watoto wake 2 wa kiume ili wapige show kwa watoto wa kike bado inakua ngumu kuamini unless uwe ni ushauri wa kamati za UFUNDI, vinginevyo kama Mwafrika na Mtanzania ni ngumu sana kuamini. (Nieleweni vizuri, sijasema haiwezekani, nimesema ni ngumu kuamini)Pamoja na corruption iliyokuwepo katika muhimili wa mahakama siamini kama hawa jamaa hawakutenda kosa.
Rufaa yao pia ilishindikana pale ilipowasilishwa na wakili mashuhuri nchini Mabere Marando,bado hamuamini kama Babu Seya na mwanaye walitenda makosa hayo!
Huyo EL angewatoa kwa shiria mpya?hawa watu wanaweza kua kweli walikosea au la,ila mtu wa siasa anaposema atawatoa alikua anatakataka wananchi wamshangilie na waseme manenoHadi leo ile kesi mimi huwa sijaielewa bado! Labda wakili wao Mabere anaweza siku moja uja kusema ukweli! JPM sidhani kama atakuja kuwaona na kuwaonea huruma! Maana EL aliweka kama agenda kuwatoa wakamjia juu kwa kusema eti sio utawala wa sheria! Sasa sijui JPM atakuja na ngoma gani kuwachomoa! Msamaha? Sidhani