Babu Seya, Papii Kocha na Twanga Pepeta kutoa show Tamasha la Music Ukonga Leo ..Nyerere Day

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
NGUZA.jpg

Babu Seya na mwanae Papii

unnamed-2.jpg

Leo Ukonga kunategemewa kuwa na Tamasha la music la wafungwa Twanga pepeta watatumbuiza wakishirikiana na Babu Seya,Papii Kocha na pia Msaga sumu Mzee wa Sengeli watamuenzi Mwl Nyerere kwa show hiyo.
 
Hadi leo ile kesi mimi huwa sijaielewa bado! Labda wakili wao Mabere anaweza siku moja uja kusema ukweli! JPM sidhani kama atakuja kuwaona na kuwaonea huruma! Maana EL aliweka kama agenda kuwatoa wakamjia juu kwa kusema eti sio utawala wa sheria! Sasa sijui JPM atakuja na ngoma gani kuwachomoa! Msamaha? Sidhani
 
Pamoja na corruption iliyokuwepo katika muhimili wa mahakama siamini kama hawa jamaa hawakutenda kosa.
Rufaa yao pia ilishindikana pale ilipowasilishwa na wakili mashuhuri nchini Mabere Marando,bado hamuamini kama Babu Seya na mwanaye walitenda makosa hayo!
 
Kwa mazingira ya kiafrica baba kuvua nguo pamoja na watoto wake 2 wa kiume ili wapige show kwa watoto wa kike bado inakua ngumu kuamini unless uwe ni ushauri wa kamati za UFUNDI, vinginevyo kama Mwafrika na Mtanzania ni ngumu sana kuamini. (Nieleweni vizuri, sijasema haiwezekani, nimesema ni ngumu kuamini)
 
Hadi leo ile kesi mimi huwa sijaielewa bado! Labda wakili wao Mabere anaweza siku moja uja kusema ukweli! JPM sidhani kama atakuja kuwaona na kuwaonea huruma! Maana EL aliweka kama agenda kuwatoa wakamjia juu kwa kusema eti sio utawala wa sheria! Sasa sijui JPM atakuja na ngoma gani kuwachomoa! Msamaha? Sidhani
Huyo EL angewatoa kwa shiria mpya?hawa watu wanaweza kua kweli walikosea au la,ila mtu wa siasa anaposema atawatoa alikua anatakataka wananchi wamshangilie na waseme maneno
 
Back
Top Bottom