Babu Seya, Papii Kocha na Twanga Pepeta kutoa show Tamasha la Music Ukonga Leo ..Nyerere Day

Hii kesi yao haitasahaulika kwa watanzania
Ni moja ya kesi maarufu sana

Ila kama walionewa malipo ni hapa hapa duniani
 
duuuu kesi ya hawa watu.....anyway Mungu na wao wenyewe ndio wanaujua ukweli
 
Different colours (one people)
Different colours (one people)
Different colours (one people)

We're different colours (one people)
Different colours
 
Hadi leo ile kesi mimi huwa sijaielewa bado! Labda wakili wao Mabere anaweza siku moja uja kusema ukweli! JPM sidhani kama atakuja kuwaona na kuwaonea huruma! Maana EL aliweka kama agenda kuwatoa wakamjia juu kwa kusema eti sio utawala wa sheria! Sasa sijui JPM atakuja na ngoma gani kuwachomoa! Msamaha? Sidhani
Huwez kuielewa lama ww s mahakama
 
Back
Top Bottom