Babu Seya na wanae; Ooh! My God... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu Seya na wanae; Ooh! My God...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Slave, Jul 13, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,116
  Likes Received: 482
  Trophy Points: 180
  Leo hii mida hii nimesikiliza wimbo wa huyu mzee babu seya roho imeniuma sana pale nilipo kumbuka kwamba alifungwa kwa kosa la kunajisi watoto.pia nakumbuka jinsi kesi yake ilivyovuta wengi kufuatilia kesi hiyo.hiyo yote ni kutokana na utata wa madhingira ya huo ubakaji.jambo la msingi kwenu wana jf ninaomba tukumbushane hasa kwa wale wanaoifahamu kwa ukaribu familia hii
   
 2. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huyu hakubaka mbona wote tunajua chanzo? kumbuka wimbo wake wa "SALIMA" ndio uliomponza mwenye masikio na asikie the home of great thinker.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ah wamedhulumiwa nafsi zao lakini iko siku mwenyezi mungu atawadhihirishia ukweli,kwani hakuna dhiki wa dhiki na mungu ni wetu sote muhimu ni subra.
   
 4. L

  Leornado JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Babu Seya messed up with da wrong person by hanging out with his chicka....

  Kinachiniuma ni jinsi wanawe wa kiume walivyomalizwa kwenye ishu hii. Hata kama wataachiwa huru, thier lives are already ruined.

  Malipo ni hapa hapa duniani.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,104
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  asee nimeumia saaana ningejua nisingefungua thread hii
  hivi yule mwalimu walimlipa kiasi gani kusema
  uongo ?na kwanini yule mwalimu
  yupo huru wkt nayeye alikuwa anawapeleka
  hao watoto kwa mujibu wa magazeti?
  ila what goes around comes around
  hata kama si kwa stail ya babu seya loool
   
 6. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,690
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  adhabu imekuwa kubwa sana kuliko kosa if this is the case 'cause hakumfunga na kamba bali aliufuata mwenyewe kwa hiari yake na babu akawa anajigawia.

  sema ile dedication nayo ilichangia adhabu kuwa kubwa "seya tukoke woteeee wasema uko wanguuu......" wakati si wake -- ha ha ha
   
 7. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Umesahau kuwa money talks?
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,119
  Likes Received: 3,967
  Trophy Points: 280
  Kuna habari kuwa hata nyumba zake zote ziliuzwa ili kulipia fidia ya wale malaika, tupeni habari kama ni ukweli.
   
 9. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,539
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Dadavua kiduchu kuhusu hilo Jina maana naona linafanana na la DADA MKUU
   
 10. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,664
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Anayeifaham hii ishu kavip aidondoshe hapa nina ham xna ya kuijua kiundan kidogo
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Mbona me celew chochote wakuu,kwan babu seya c alhukumiwa maisha kwa kosa la kuwaingilia kimwil watoto wadogo,au kesi yake ilipikwa?naombeni mnifumbue macho mwenzenu.
   
 12. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,268
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani huu wimbo ulimlenga Salma??? Tafadhali fafanua mkuu
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Duh mkuu inaweza kuwa kweli eee!, maana nimesikia siku nyingi hizo fununu za hilo bifu lakini bado sijalipata vizuri.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Alilipwa pesa za vocha na nauli ya daladala tu
   
 15. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,664
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Wekeni hizo ishu bas mbona tunabaniana? Tufumbueni macho wenzenu
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  sawa bwana jaji!
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  msitukumbushie machungu haya
  wahenga husema "kila mla cha mwenzie na chake huliwa".........
  :dance:
  vilevile kila chenye mwanzo hakikosi mwisho.
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  nani aliye waona hao watoto?
  mwl aliyekuwa anawapeleka mbona hakushtakiwa?
  mbona hakuna ushahidi wa daktari?
  .........................
  ...........................
  ...............................
  mwenye nguvu mpishe!
   
 20. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,322
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Mbona mnaanza kunikumbusha ile kesi ya mauaji ya yule mama wa Makambako aliyehukumiwa na Mh. Jaji Werema sasa!
   
Loading...