Babu Seya kwanini hajafuta kesi yake mahakama ya watu na haki za binadamu licha ya kusamehewa?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
Jamahuri ilikupa msamaha na ukatoka jela kwanini wewe hujafuta kesi yako huko mahakama ya watu na haki za binadamu.
 
Anataka kufanya Kama Ismael Aden Rage

Baada ya kusamehewa Kifungo na Jk kwa kosa la Rushwa aliendelea na Rufaa yake mpaka ikaonekana Hana hatia hivyo record ya kuwa Mla Rushwa Kwa Mujibu wa Hukumu ikawa imefutwa

Baadae akaitumia hiyo hukumu ya Rufaa kulamba Ubunge na U Rais wa Simba
 
Jamaa alimpa msamaha Rage huku akmfunga Babu Seya huku akiwa anacheka cheka kama kawaida yake.
 
Hivi ikitokea Mahakama ikamua "vinginevyo" si atarudi tena huko huko!!! Mara paaaaaaaaaaaaaaap kitu kimedunda sijui atalia na nani!!!!!
 
Baby Seya kafungwa 2004 na Jakaya Kawa Rais 2005,

sio Kila Propaganda unaibeba tu kichwa umepewa kuchuja sio kubeba Kila jambo
 
Hawezi kurudi Kwa kuwa Kasamehewa na Jamhuri sio Mahakama!

Kazi ya Mahakama itakuwa kusema alikuwa na hatia au laa!

Hiyo Ni Mikakati yake ya kuja kupewa Uraia,

mniwie radhi kuvujisha Habari
 
Kwani 2004 jamaa hakua ni mtu mzito serikalini?

Mtaani tu ukizinguana na diwani tu anaweza kukupa kesi sembuse Waziri tena wa miaka mingi,acha kabisa.

Hivi ule wimbo wa Salimaaa unaweza kua nao unirushie mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hawezi kurudi Kwa kuwa Kasamehewa na Jamhuri sio Mahakama!

Kazi ya Mahakama itakuwa kusema alikuwa na hatia au laa!

Hiyo Ni Mikakati yake ya kuja kupewa Uraia,

mniwie radhi kuvujisha Habari
Kuomba uraia!!!! Hiv huko Congo alifanya nn hata asitamani kuishi huko? Mm nilfikiri alipotoka tu wiki iliyofuata angesepa Congo.
 
Babu seya alifungwa si wakati wa Kikwete- USIMUONEE BURE
Kipindi anafungwa Huyo kikwete alikua na madaraka gani serikalini?

Mtaani tu diwani anakupa kesi ya maana sembuse Waziri kigogo,huelewi kitu ndg
 
Ya kwanza ikifikie wewe unaoropoka mambo bila kuwa na uhakika,ya pili ikifukie wewe mwenye chuki na watu kwa kukaririshwa mambo na wewe kuyabeba bila kutafakari na ya tatu ikufikie wewe mjinga unaye post ujinga kwa sababu tu una bundle kwenye kitochi chako
Sawa mana watoto nimekusikia ila leo litachacha tu.
 
Kipindi anafungwa Huyo kikwete alikua na madaraka gani serikalini?

Mtaani tu diwani anakupa kesi ya maana sembuse Waziri kigogo,huelewi kitu ndg
alikuwa waziri asiyena influence yoyote-hakuwa kwenye inner cycle kama alivyokuwa Mkapa 1995- najua unakotaka kutupeleka SIKO SAHIHI ILA UNAHAKI YA KUAMINI AKILI ZAKO
 
Hahah waziri asiye na influence yoyote lkn aliyemshinda Mkapa kwenye Uchaguzi wa ndani wa CCM 1995 ila akaambiwa bado muda wake

Then anaitwa waziri asiye na influence by then,sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom