Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Huyu alibaka vitoto vidogo! Wakati wa kesi alijitetea kuwa alikuwa HANISI, leo kaoa! Ina maana alikuwa anadanganya??? au atahitetea kuwa ametibiwa na akapona! Bakaji mkubwa
Hujui unalolisema we mbwa.
Hii kesi ndiyo inanifanya mpaka leo namuona JK ni mnafiki na mzandiki. Wewe mpori mpori hujui kitu kaa kimya. Sisi watoto wa mjini tunajua A-Z. Enzi inawezekana ulikua kwenu Nachingwea nyau weeee
 
Khaaaaa
 
Kama unajua ukweli halafu umebaki nao moyoni mwako tu, unataka mwenzio ambaye hajui chochote asemeje? Wewe na yeye nani kati yenu atakua NYAU?
 
Mzee katika utetezi wake si alisema jogoo hapandi mtungi!
Kweli soma page ya 35 ya hukumu yake ya mahakama kuu na page ya 9 ya ile ya Mahakama ya Rufani alisema hadindishi na akaleta mashahidi hehehe
Screenshot_2019-09-09-19-11-15.jpeg
IMG-20190908-WA0059.jpeg
 
Kuna vitu vingine vinashangaza na kuleta maswali mengi..ila tuwatakie tu Ndoa yenye furaha

Mkuu mie linapokuja suala la hawa wangoni nashindwa kupata jibu... sio wanaume sio wanawake yaani kati yao huwaga sipati mwenye nafuu sijui wenzetu pale walilogwa? eti nyie akina Mapunda, Ndunguru, Ngonyani, Komba, Mbawala kwanini wanaume ni moto chini na wanawake ni mcharuko mwanzo mwisho? nitayarishieni na mie nihamie huko Nakapanya kwani napenda nibadili mboga kila siku

Maendeleo hayana vyama!
 
Hahaa nimeishi songea miaka 3, nilichogundua hawa watani zangu bado wanaiendeleza ile policy ya kuzaana sana ( kusex sana) bila mipaka ili population yao iwe kubwa wadominate sehemu walizofikia wakati wanahama kutoka south,sasa bado wanaendeleza hizo tamadun licha ya kuwa wengi
 
Mke wake ambaye ni mama yao kina Papii Kocha alikufa kitambo tu, hata kesi yao ilikuwa bado
Nadhani wkt mdogo wao wa mwisho.mdogo
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom