TANZIA Babu Njenje Mabruk amefariki dunia alfajiri ya leo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
17,671
2,000
Maharage yako jikoni nimeshayapika nasubiri sukari ya bwana haijafika
Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nmeshayapika
Nangojea sukari ya bwana hajafika
Vumiliia jirani usijentonesha kidonda
Vumilia we jirani usije...
Vumilia leo jirani usij...
Aah dakitari huyo yuaja ajakitia dawa kidonda
Hajakitia dawaa .kidondaa
Kachirii kachirii... sagaa
Kachiri leo kachiri
Kachiri mama kachiri
Mume wangu kasafiri
Kaniachia kigoma
Na mtindo wa hariri
Kaniachia korola
Na madola teletele
Na kidani cha dhahabu
Na kiatu cha kokoto
Kisimu cha mkononi
Kachirii kachiri...
Buz langu limo ndani
Na kamba yake shingoni
Melifunga kiguzoni
Mchunaji una nini
Katafute vingunguti
Buz langu hulipati
Kachiri.saga
Kachiri.
Kachiri
Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira
Wene makandawira(inawene makandawira ina wene)
Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira
(Makandawira ina wene makandawira)
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,322
2,000
Oooohhh
Mmekisha zoea (haloooooh)
Kusemwa semwa na watu
Yakwao hawa yaoni
Kazi kusema ya watu
Basileo na wambia
Maneno yenu sijali
Mtabki ivyoivyo
Ya kwangu yani nyokea eeeh
Wacha Wacha waseme
Watasema mchanaeeh
Usiku wata lala
Wacha Wacha wasemeR.I.P Mr Njenje
Huu wimbo japo ni wa siku nyingi ukipigwa unajikuta unaimba tu.

Ni mzuri na hauchuji

Allah ampunguzi adhabu ya kaburi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,570
2,000
Nadhani tafsiri halisi za mafumbo mashairi yake ataikuta huko.Kama yalimfurahisha ama kumchuliza Mola itabaki yeye na mala wake
 

LuisMkinga

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
1,848
2,000
Oooohhh
Mmekisha zoea (haloooooh)
Kusemwa semwa na watu
Yakwao hawa yaoni
Kazi kusema ya watu
Basileo na wambia
Maneno yenu sijali
Mtabki ivyoivyo
Ya kwangu yani nyokea eeeh
Wacha Wacha waseme
Watasema mchanaeeh
Usiku wata lala
Wacha Wacha wasemeR.I.P Mr Njenje
Kuna vingoma fulani hapa ungeviweka ningetoa na barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom