Babu Mwizi,wenye magari muwe macho!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu Mwizi,wenye magari muwe macho!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Jul 14, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Anavaa kanzu nyeupe, na anadai anumwa mguu kawekewa chuma na pia ana kisukari!!
  yeye hana makuu, anajigongesha tu kwenye gari lako then anaanguka, badae anataka umpeleke
  hospitali then anakuomba hela kwa madai ww endelea na mihangaiko yako tu!!

  Kuna jamaa keshaliwa Tsh 50000 na kuna mdau mmoja alitoa ushuhuda hapa jamvini yaliyomkuta
  Kariakoo, anajigongesha kwenye kioo then anataka umpe hela!! wenye magari kuweni macho na huyu
  mwivi!!

  Jicho lang'ombe Power Breaakfast imeeleza story 2 za watu kuibiwa ha huyu bwana!! Ni mwivi mkubwa!!
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,555
  Likes Received: 5,757
  Trophy Points: 280
  sasa kama unatoa mwenyewe nadhan sio mwizi anatumia akili ..yaani mwenyewe mfukoni..msimseme jamani babu wa watu
  yupi bora huyo mnaetoa mfukoni wenyewe ama rostam anaeiba bot nawenzake mafisadi
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hiii story ipo siku nyingi sana huku mjini!sio babu tu, kuna vijana pia!mimi ilishanitokea hapo karibia na DIT kijana kajigongesha!mimi nilichofanya nilishusha kioo kidogo tu nkamwambia hiyo kazi nishaifanya sana kwa hiyo awadanganye wengine!nkamwambia ainuke hatak nitamkanyaga na gari!mbona aliinuka akachapa mwendo?halafu wakati anajigongesha kunakua na vijana wengine pemben wanasubiria u panic wakuibie laptop,simu hela kama unazo nk.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mjini shule bana.
   
 5. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yuko kazini, akiaaga mkewe nyumnabi anamwambia anaenda kazini kama ww na mm tunavyofanya. Ni kama Nurse hospitalini kuomba rushwa kabla huja tibiwa/kusikilizwa na Doctor. Hapa mjini bana; huyo mzee labda ana watoto pia.... U need to do what has to be done to survive in town!!
   
 6. A

  Anold JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Ngoja siku ajigongeshe kwangu aone kitakachomtokea!!! anakuwa maeneo gani nimlie timing?
   
 7. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  sasa hivi matapeli wamezidi na vibaka wameibuka upya. sijui tunakwenda wapi. polisi wanasema tuwapeleka mahakamani ,mahakama huwaachia na kurudi kuja kubuni staili nyingine za wizi. hakuna sababu ya kumhurumia usiyemjua tusiwe sana wasamaria. shukrani yake kulizwa. idara ya ustawi wa jamii inafanya nini isiwahudumie hao omba omba?
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ana akili sana huyo muzee big up ubunifu kama huo ndo kina rostam waliufanya mwaka 2005 na kuneemeka kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake mazee
   
Loading...