Babu mwasapile na gazeti la mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu mwasapile na gazeti la mwananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tindikalikali, May 15, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Toka iibuke tiba ya huyu babu, gazeti la Mwananchi limekuwa likiandika habari hizo kila kukicha. Mwanzo walikuwa wakiifanya habar kuu na sasa wameamishia kurasa za ndani na kuianzishia makala. Je gazeti hili limeingia mkataba na babu?
   
 2. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kuna mgao wanapata.
  Babu is not alone!
  Babu is a system hata hapa jf kuna watu wa babu.
   
 3. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwananchi like anyother bizppl walikuwa wanafuata upepo wa wateja wake, story ya babu ilikuwa hot then thats y was in front page, jinsi umaarufu unavyopungua na umuhimu unapungua pia.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Mwananchi wameuza hisa na kwa taarifa yenu babu kanunua hisa zote za Dar es Salaam Stock Exchange za gazeti la Mwananchi.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Labda niwafahamishe mapya!

  Habari za Babu zilikuwa kwenye hibernation tu, lakini hazijapungua umaarufu, na babu anazidi kupaa!
  Kwa TAARIFA zenu, ni kwamba sasa hivi JWTZ wako Samunge wakijenga kambi ya kudumu huko chini ya Brigadia Kisamba!

  Lakini nikuibie habari kuwa kuna marais kadha wa nchi kadha za Africa Ulaya Asia na America wameconfirm kuja katika siku za usoni KUPATA KIKOMBE, ndiyo maana hata serikali imeamua kupaimarisha eneo la SAMUNGE, hususan kwenye nyanja ya Usalama!
  kWAHIYO WANAOTEGEMEA UMAARUFU WA BABU UMESHUKA wafikirie UPYA usahihi wa mawazo yao!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i thought babu amelionya gazeti against kufungiwa
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wame comfirm wapi? au niulize wame comfirm kwa nani? au labda suala liwe wamecomfirm kwa njia ipi?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Habari zako Gaijin...mzima?
  Hiyo unayotaka ni PURE Intelijensia!...sitojibu!
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Asante baba .....umeeleweka :]
   
 10. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Isiwe intelijensia ya said mwema na wanae tu!
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  afadhali wewe umeuliza. PJ ni kama marketing officer if not director wa babu. Kwakweli siku hilo la marais kufika huko likitokea mh itakuwa kali.
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hahahaha....bongo tambarare! Kila mtu ana intelijensia! Kwa nini msiwe na intelijensia ya kuanzisha viwanda?
   
 13. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Sidhani,..ila nafikiri watakuwa wamevutiwa na habari zake.
   
Loading...