mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Akihojiwa na kituo cha Azam TV, kuhusiana na uamuzi wake wa kurudi chama chake cha zamani (CUF), amesema moja ya sababu ya kufanya hivyo ilikuwa ni kutoaminiwa na chama hicho, na kwamba hakuwa na cheo chochote, ilhal CUF alifikia hadi nafasi ya umakamu mwenyekiti
Pia amesema mfumo wa uongozi wa CHADEMA na CUF vina tofauti kubwa kwani CDM ina mlolongo mrefu wa kufanya maamuzi ( Bureaucracy ) kulinganisha na CUF, hali inayopelekea kuchelewesha baadhi ya mambo.
Mahojiano yake yatarushwa tena saa mbili usiku, leo hii.
Nionavyo: Huu UKAWA kuna dalili zote kuanza kulega lega. Jambo pekee liliofanya upinzani kupata kura nyingi ni ukawa......msiruhusu umoja huu adhimu kuvunjika.