Babu aliyesadikiwa kuuwawa na maji pilipili ya polisi aibuka na kuwajia juu wazushi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu aliyesadikiwa kuuwawa na maji pilipili ya polisi aibuka na kuwajia juu wazushi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Oct 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Kamanda kova amekuja juu na kusema yule kiongozi wa wastaafu ambaye ni mwenyekiti wao aliyesambaza uzushi wa kufa mzee mstaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki ni mzushi na polisi wanamtafuta.

  Mzee huyu aliyedaiwa kufa aitwaye Anderson Mathayo naye alishangazwa na madai ya kuwa alikufa
  kwa kusema hata yeye yameshtushwa kwa sababu baada ya polisi kumwagia maji pilipili polisi hao walimchukua kwenye karandinga yao na alipopata nafuu walimruhusu kwenda makwao...........SOURCE CHANNEL TEN EVENING NEWS
   
 2. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni vyema Mzee Anderson Mathayo ashauriwe kuwa asikose pia kuwashukuru Kamanda Kova na Polisi kwa kumchukua na karandinga lao na 'kumuweka mahali' hadi alipopata nafuu.

  Pia asisahasu kumtumia JK salamu za shukurani kwa huduma nzuri na bure aliyopata Polisi hadi akapata nafuu, na kwa kuonyesha shukurani zake asisahau kumpigia kura JK na CCM yote.

  Huo ndiyo uwajibikaji na usalama kwa raia.

  Naomba nikumbushwe, hivi ni kwanini alimwagiwa maji ya upupu/pilipili?
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo ile taarifa iliyowekwa hapa JF iliyosema kuwa huyu babu ameuwawa na maji yenye upupu ni uzushi? JF kweli ina watu!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,338
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  propaganda
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unajua JF kuna upupu kweli hasa wakati huu wa uchaguzi. Kuna baadhi ya post unatakiwa uishie kwenye title tu na kuendelea na shughuli zako. Nyingine ni km ile ya Mzee Malecela kung'oa mabomba. Kuna vitu vya ajabu saana.
   
 6. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vyema Mzee Anderson Mathayo ashauriwe kuwa asikose pia kuwashukuru Kamanda Kova na Polisi kwa kumchukua na karandinga lao na 'kumuweka mahali' hadi alipopata nafuu.

  Pia asisahasu kumtumia JK salamu za shukurani kwa huduma nzuri na bure aliyopata Polisi hadi akapata nafuu, na kwa kuonyesha shukurani zake asisahau kumpigia kura JK na CCM yote.

  Huo ndiyo uwajibikaji na usalama kwa raia.

  Naomba nikumbushwe, hivi ni kwanini alimwagiwa maji ya upupu/pilipili?


  Nimependa huu ushauri, excellent advice, Man go ahead and thank the listed
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Watu wengine kwa kupamba eti alichukuliwa akaingizwa kwenye karandinga na kupelekwa mahali akapumzike utadhani alipelekwa kwenye sherehe, ulishasikia kitu kinaitwa kuisaidia polisi unafikiri ni kwenda kukaa mezani na kunywa juice usiombe uwekwe kwenye karandinga nikutupiwa kama gunia la chumvi.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Maneno yako ni kweli kabisa.
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Bahati nzuri Dk Slaa akudandia treni hiyo kwa mbele, Dk yuko makini
   
 10. asam.thegunner

  asam.thegunner Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ndipo chadema wanapoonekana waropokaji na wakurupukaji. Ukisoma Tanzania Daima la tarehe 18/10/2010 utaona jinsi Dr.Slaa anavyolalamikia hili tukio la kuuwawa kwa huyu mzee. Je wale wananchi alio wadanganya ataenda kukanusha? Nawashauri wawe wanafanya uchunguzi wa kutosha wa habar zao ndio wazipeleke kwa wananchi.
   
 11. Kabwela

  Kabwela Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asam na wenzio acheni uongo na mjiheshimu kwa kuwa ni watu wazimu na akili zenu timamu. Alichosema Dr Slaa (Dr wa ukweli sio wa kupewa kama dr manya nyau) ni kuwalipa malipo yao ambayo wanadai sasa ni miaka 30. je hiyo ni haki? Mnachosema ni ushabiki wa kiccm ambao hata kinaha waliahidi kujenga barabara ya lami mwaka 2005 mpaka leo ipo highway na ile ya tumbi tu ya tangu enzi za Nyerere. NAOMBA MNIAMBIE KAMA HAO WAZEE WAMESHALIPWA AMBAO WANADAI HAKI YA YA MWAKA 1977??????????????????????:mmph:
   
 12. Kabwela

  Kabwela Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASAM NA HII WALIDANDIA???????????????

  Mgombea udiwani sasa anavaa nguo rasmi


  na Ahmed Makongo, Bunda


  [​IMG] MGOMBEA udiwani wa kata ya Balili, kwa tiketi ya CCM, Edda Motte, ambaye hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya cham hicho, Jakaya Kikwete, alimtambulisha kwamba ni mwanamke kutokana na tabia ya kuvaa nguo za kike, sasa amebadilika na amekuwa akiomba kura akiwa amevaa nguo za kiume. Baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho wilayani hapa, ambao hawakupenda majina yao yaandikwe, wamedokeza kuwa mgombea huyo sasa anavaa nguo hizo tofauti na awali na kwamba hali hiyo imetokana na uongozi wa CCM pamoja na wafuasi wake kumshawishi afanye hivyo.
  Wakati wa ziara yake wilayani Bunda, Rais Kikwete wakati anatambulisha wagombea udiwani, alimtambulisha mgombea huyo kama mwanamke baada ya kumuona amevaa nguo za kike kwa kujifunga kitenge.
  Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hizi katika mikutano yote ya kampeni ya mgombea huyo, umegundua kuwa siku hizi ameacha kujifunga kitenge na anavaa traki suti.
  Wakati huo huo, mgombea huyo amewaomba wananchi wa kata hiyo kumchagua ili aweze kuwaletea maendeleo.
   
 13. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Inasemekana mzee wa watu alikufa na huyo aliyejitokeza ni pandikizi kuuficha ukweli mbona! Hapa inabid ndugu wa mzee huyo kama wapo watoe ukweli...
   
 14. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kitendo cha polisi kujitokeza na kusema kinataka kumtia hatiani mzee aliyejitangazia kifo ni usanii wa watoto wadogo ambapo huhitaji kufikiri sana kabla ya kugundua kwamba hii ni siasa.

  Kwanza mtu hawezikujitangaza kuwa amekufa!

  Kova anadai huyo mzee minja amejitangaza kuwa amekufa na wanataka kumshitaki kwa sababu ya hilo.

  Swali>
  kama mtu amejitangaza amekufa na anaonekana akisema hilo, then huna haja ya kujishughulisha naye maana huyo atakuwa punguani. Tunajua mtu akishakufa hawezi kusema lolote

  mtu anatangazwa kuwa amekufa na wala hajitangazi

  polisi wanadhani wanaongea na watoto wadogo na kuwa wanaweza kuficha nia yao isieleweka hasa wanapozungumza jambo la kipuzi namna hii.

  Mzee aliyejitokeza baadaye nae akawa anadai anamtafuta mtu aliyemtuhumu kifo. Huyu aliyejitokeza anaonekana amehongwa na hao jamaa ili kuficha ukweli wa tukio na kuhamisha kesi kwa watu waliofichua uovu wa kinyama uliofanywa na polisi.

  Aliyekufa ni mwingine na aliyeenda kujipeleka kuhojiwa vyombo vya habari ni mwingine, na huku polisi wakidai wanamtafuta huyo aliyejituhumu kuwa amekufa.

  Doesnt make sanse.
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Mwana wa Ufalme.

  Mkuu Kova anawakilisha genge kubwa la polisi wasiotaka kutumia common sense kwenye mambo madogo wakifika mahakamani wanishia kuaibika.
   
 16. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Huwa najiuliza polishi kama wanafundishwa ku-twist maneno au kubambikizia kesi..?
  ...maanake wamefuzu with flying colours kha!!..
   
 17. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180

  Aliyekufa ni mwingine na aliyeenda kujipeleka kuhojiwa vyombo vya habari ni mwingine, na huku polisi wakidai wanamtafuta huyo aliyejituhumu kuwa amekufa. Kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo!!!!
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Naaaam, Tanzaniaa
  KANYAGA TWENDE
  lol
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Du kumbe alipelekwa mwingine haaaaa! usanii kila sehemu nchi hiii!
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni vyema serikali ikaendesha IQ test kwa makamanda wa polisi +Shimbo. I guess IQ level ya kova is below 10.
   
Loading...