TASLIMA
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,013
- 3,572
Simchezo ila kukaba sana hadi kuto kumpa mtu uhuru inaboa muda mwingine...huwa unatoa uhuru?Haha..
Ndiyo, huwa siachi hata moja!!
Simchezo ila kukaba sana hadi kuto kumpa mtu uhuru inaboa muda mwingine...huwa unatoa uhuru?Haha..
Ndiyo, huwa siachi hata moja!!
Haujaelewa uhuru gani, binafsi kuna dada nilikua na date nae, alinipa masharti yafuatayo.Good Lord..!!
Uhuru nilimpa wa kutosha kujenga ghorofa kabisa,
Nilikuelewa vizuri sana na ndo maana nikakujibu kuwa nilimpa 'uhuru wote'..!Haujaelewa uhuru gani, binafsi kuna dada nilikua na date nae, alinipa masharti yafuatayo.
1.Muda wote atakua pembeni yangu
2.Nisisifie au kuangalia mwanamke yoyote
Huyo dada alikua na wivu hatari, alinishinda.
So utakuta wewe ni kama huyo.
Vyema my dada... utapata uliechaguliwa na Mungu, ataenjoy sana!!Nilikuelewa vizuri sana na ndo maana nikakujibu kuwa nilimpa 'uhuru wote'..!
Kila mmoja anapaswa awe na muda wake wa kufanya mambo yake yeye kama yeye, hiyo habari ya kufuatana mikiani 24/7 hapana.!
Kuhusu wivu, lazima uwepo kama unampenda mtu, Ila nidhamu na heshima ni lazima viwepo baina yenu ili huu wivu usivuke mipaka..!
Hapana watu tuko tofauti. Wakishua hawafanani na sisi wa uswazi..Hivii watu si ni wale wale!? Ama mimi ndo nashindwa kuelewa!!
Tupo mama sema wewe ndiyo umepotea sana..
Pole dada, sio wewe pekee uliejisikia namna hiyo. Mimi nilimsahau x wangu baada ya miaka 9.
Mimi nipo salama kabisa sijui wewe sis..Mimi nipo kaka za siku??
Mimi nipo salama kabisa sijui wewe sis..
I'm Delighted to hear that...Mimi niko bien kabisa
Utofauti upo kwenye standard of living.Basii na mie ndo nautaka huo utofauti kama hutojali.
It ain't a year -KANA- it has been few months, I am afraid the sky is still gray!!
ninyi viumbe wawili mpo??