Babe, I am afraid this was never meant to be...

Good Lord..!!
Uhuru nilimpa wa kutosha kujenga ghorofa kabisa,
Haujaelewa uhuru gani, binafsi kuna dada nilikua na date nae, alinipa masharti yafuatayo.
1.Muda wote atakua pembeni yangu
2.Nisisifie au kuangalia mwanamke yoyote
Huyo dada alikua na wivu hatari, alinishinda.
So utakuta wewe ni kama huyo.
 
Nilikuelewa vizuri sana na ndo maana nikakujibu kuwa nilimpa 'uhuru wote'..!
Kila mmoja anapaswa awe na muda wake wa kufanya mambo yake yeye kama yeye, hiyo habari ya kufuatana mikiani 24/7 hapana.!
Kuhusu wivu, lazima uwepo kama unampenda mtu, Ila nidhamu na heshima ni lazima viwepo baina yenu ili huu wivu usivuke mipaka..!
 
Vyema my dada... utapata uliechaguliwa na Mungu, ataenjoy sana!!
 
It ain't a year -KANA- it has been few months, I am afraid the sky is still gray!!

if he makes you happy when you're with him, then i would advice you to hold on a little longer. all men got flaws, you only need a few strong reasons why you should hold on.

accept his weaknesses and focus on the things he does better. One day, the heavens might smile upon you. but if he mistreats you in any way, run while you still can!
 
Similar Discussions

42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom