Babe, I am afraid this was never meant to be...

Siwezi kupinga namna ulivyompenda na kumthamini huyo jamaa yetu lakini naona kama umempa nafasi kubwa sana ya maisha yako, kuwa taa, nuru, dira, mwongozo na mwelekezaji wa maisha yako, hilo kwa mtazamo wangu sio sawa.

Cha kyshukuru hamjaachana kwa ugomvi na makelele meeeengi, itakuumiza lakini tumeumbiwa kusahau.

Kila la kheri
 
Huwa natamani mahusiano yaishe kwa sababu kuna sababu.Ila kitendo cha kuanza kuambiwa "you are too good for me,you deserve more' au haya ya kusema 'this ain't gonna work'.!! kisha mahusiano yanakufa huwa yanafanya mtu ashindwe kumove on kawaida.
Naona anayetoka kwenye mahusiano ya aina hiyo huwa ni ngumu sana kuanzisha mengine kwani haoni anataka nini ambacho alikikosa kwenye uhusiano uliopita au kipi ambacho alikosea anachohitaji kujirekebisha kwenye hayo mahusiano mapya,hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Upo sahihi kabisa, ni experience mbaya sana, na unaambiwa kabisa 'you're just perfect, I real admire the uniqueness in you', ila ndo hivyo ukweli unabaki pale, you ain't his priority.!!
 
This is a heart of a real woman crying and yearning for the true love that, for some unknown reasons, has now eluded her. She is hurt; and her heart is bleeding.

Listen young lady. You seem to know what you want. My advice to you is this: fight for this love. Let this unique man know about the deep love that you harbour for him. That no one will ever replace him; and that you will always be there waiting for him.

You seem to be in pain. Please go fight for this love !!!
Wazee wa fursa... haha napita tu.
 
Siwezi kupinga namna ulivyompenda na kumthamini huyo jamaa yetu lakini naona kama umempa nafasi kubwa sana ya maisha yako, kuwa taa, nuru, dira, mwongozo na mwelekezaji wa maisha yako, hilo kwa mtazamo wangu sio sawa.

Cha kyshukuru hamjaachana kwa ugomvi na makelele meeeengi, itakuumiza lakini tumeumbiwa kusahau.

Kila la kheri
Nashukuru nimekuelewa vizuri, ila wakati unaingia unakuwa huna hakika na matokeo utakayokutana nayo humo ndani, ila yakishakukuta yakukuta ndipo akili zinakukaa na fahamu zinarejea.!!
Ahsante The Monk hili linapita na linasahaulika pia.!
 
Upo sahihi kabisa, ni experience mbaya sana, na unaambiwa kabisa 'you're just perfect, I real admire the uniqueness in you', ila ndo hivyo ukweli unabaki pale, you ain't his priority.!!

Ila namshukuru huyo jamaa aliweza kumudu kuwa mkweli. Japo pia ilikua njia ya kujiweka pembeni kwa mambo mazito yanayohusu mahusiano. Akishakwambia hivyo hauwezi kutarajia mkapanga nae mikakati na mipango ya maisha tena. Atakwambia tu anakupenda sana na angefurahi muwe wite lakini haifanyi kazi.

Cha ajabu ukimpa mambo anapokea ila anakua amejiweka kwenye hali ya kuegesha.
Tatizo siju anakuja kugundua kwamba ulikua na uoendo wa dhati na akishapata wajanja wakamfungua macho ndio anakukumbuka. Wakati huo umeshajipangusa vumbi umesonga na maisha. Anabaki kujuta.
 
Ndiyo, upo sahihi watu wa aina hii huwa hawataki kuzungumzia mustakabali wenu kabisa na kwenye mikakati yake ya muda mrefu haupo, the good thing is,
'there's always a bright vision at the end of the tunnel'..!!
 
Itapita tu. Na huwezijua ilikua ni sehem ya kujifunza na kupata uzoefu utakaouhitaji mbele ya safari.

Kikubwa, uko mzima! Mambo mengine hatuna uwezo mkubwa wa kuyafanya yaende tunavyotaka sisi.
 
Shukrani sana The Monk lesson learnt na maisha lazima yaendelee.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom