Elections 2010 Babati wamerogwa!

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
aliyeshindwa kwao anashindwa kokote kule.
Babati mungeuliza kwanini huyo Kisyeri Chambiri alikataliwas kwao. yaani vimisaada viduichu anavyoonga mmekubali.
Pata undani wake kwa ufupi.
Ni jamii ya watu wanaoamini kuwa wao ni watawala, wasomi.
Nduguye Mwita ni Mwizi maarufu wa kura popote alipo.
Waliwatukana waskurya ndo mana wakawanyima kura. Mmoja wapo ni Tajiri Gachuma. Ameaidiwa Uwaziri na Kikwete endapo atarudi bungeni.
Hamtamwonaa akishughuliuka na shida zenu. POLENI BABATI
 
Khanga, biscut, T.shirt, Kofia yenye picha ya mtu,Ushamba, Ushabiki, Umaskini wa mawazo na..............
 
aliyeshindwa kwao anashindwa kokote kule.
Babati mungeuliza kwanini huyo Kisyeri Chambiri alikataliwas kwao. yaani vimisaada viduichu anavyoonga mmekubali.
Pata undani wake kwa ufupi.
Ni jamii ya watu wanaoamini kuwa wao ni watawala, wasomi.
Nduguye Mwita ni Mwizi maarufu wa kura popote alipo.
Waliwatukana waskurya ndo mana wakawanyima kura. Mmoja wapo ni Tajiri Gachuma. Ameaidiwa Uwaziri na Kikwete endapo atarudi bungeni.
Hamtamwonaa akishughuliuka na shida zenu. POLENI BABATI
:crying: Mfupa uliomshinda fisi mbwa ataweza?
 
Babati Mjini ni wa kusikitiwa kwani watu wa kudanganywa na pipi, michango ya sherehe n.k. Ingawa waliaswa na Dk. Slaa kwamba mgombea wao hafai na kuambiwa udhaifu wake, hawakuelewa. Subiri wakalipe gharama ya kutokusikia kwao.
 
Ni dalili za umasikini wa Fikra na kuwa na elimu ndogo. Mikoa yote iliyochagua CCM iko hivyo. Alafu hao ni MISUKULE. Wamefugwa na CCM. Asikudanganye mtu. Wanalalia ngozi na nyumba mbavu za mbwa. Wamelogwa.
 
SASA KAMA KIKWETE ALIWADANGANYA KUWA ATAWAPELEKEA MAJI MASAFI YA MTO RUVU KWANINI WASIMCHAGUE CHAMBIRI????
HAWA WATU WA BABATI WAMESHINDWA HATA KUMWONA JK NI MMBINAFSI!!!! KWANINI AJASEMA KUA ANAWAPA MAJI YA KWAO CHALINZE WAMI..
NA TOKEA LINI MAJI YA RUVU MBALI KOTE YAKAVUKA WAMI KWENDA KWINGINE?????
TAFAKARI CHUKUA HATUA

:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Babati wana maji mengi kutoka mito inayotiririka kutoka kwenye Ukuta wa Bonde la Ufa ila tu wamechakachuliwa na vijisenti vya Chambiri.
 
Hivi hao Babati hawakugundua kuwa huyu ni opportunist?
Alipigwa chini Tarme wenyewe hawajiulizi ni kwa nini?
Jamaa ni rushwa kwenda mbele wakati wa kampeni .... akishinda hawatamsikia kamwe, maana hata bungeni hahudhurii. Anakuwa busy na miradi yake ya kujenga barabara kwa tenda anazopata ki ushikaji.
 
Jamani wana JR samahaninini sana mi mwenyewe nimetoka jimbo la babati vijijini, sisi tumehongwa vitishe na mhindi moja wa ccm ila kura zote tumempa mh.tara wa chadema.
Problem ya babati mjini ni mahali ambapo pamekaliwa na jamii ya watu wanaitwa warangi. mrangi ukimpa chochote tayari umempata,ni watu wa ajabu sana,
 
Hivi hao Babati hawakugundua kuwa huyu ni opportunist?
kweli huyu jamaa ni mtoa rushwa mkubwa mana alianza kutoa rushwa kabla hata ya uchaguzi, kwa kweli nawaonea huruma sana kila mwaka wa uchaguzi nashindwa kuisoma alama poor them they have to suffer another 5 years if not 20 years kama ambavyo walikoma kwa yule omary, lakini nafikiri wanahitaji elimu ya uraia hawa
 
Jamani wana JR samahaninini sana mi mwenyewe nimetoka jimbo la babati vijijini, sisi tumehongwa vitishe na mhindi moja wa ccm ila kura zote tumempa mh.tara wa chadema.
Problem ya babati mjini ni mahali ambapo pamekaliwa na jamii ya watu wanaitwa warangi. mrangi ukimpa chochote tayari umempata,ni watu wa ajabu sana,

Aisee !! wako rahisi hivyoo, na wanawake je? kwi kwi kwi !!
 
Jamani kabla hamjawalaumu mna uhakika gani kura zao ziliheshimiwa na hii NEC ya kifisadi ambayo haina hata watumishi wa kudumu na inategemea ajira za muda za kuazima kutoka serikali za mitaa?

Let us be the last to judge the good people of Babati Town.........................
 
Natoka Babati na pa fahamu vizuri-pale pana mchanganyiko wa hali ya juu lakini pia kwa taarifa, Mbulu walinyimwa kuwa makao makuu ya mkoa wa Manyara imekula CCM na babati pakawa kwa hiyo wanalipa fadhila. These are the facts, na hali hii ilileta mtafaruku sana Mbulu na ndo maana tsunami imetembea Mbulu ikiwa ni hasira kwa Marmo
 
Babati Mjini ni wa kusikitiwa kwani watu wa kudanganywa na pipi, michango ya sherehe n.k. Ingawa waliaswa na Dk. Slaa kwamba mgombea wao hafai na kuambiwa udhaifu wake, hawakuelewa. Subiri wakalipe gharama ya kutokusikia kwao.

enyi watu wa babati, na tusije wasikia mnalalamika eti hamna maendeleo au sijui huduma za afya ni mbovu, sisemu kuwa waliochagua chadema basi wataendelea sana, lakini nyie pamoja na kuambiwa aina ya mtu anayegombea bado mmempa kura, subirini kufa kwa magonjwa, kudumaa kielimu n.k..by the way babati umaskini nadhani mmeuzoea..so enyway ipotezeeni tu comment hii..ni hayo tuu..
 
Jamani kuna wengi ambao wali support mageuzi kwa hiyo tusiwalaumu pia, they will learn from the coming five years
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom