Elections 2010 BABATI wameanza kuhesabu kura upya

kilimajoy

Senior Member
Oct 31, 2010
132
7
BABATI wameanza kuhesabu kura upya baada ya CCM kuendesha uchakachuaji...NCCR wamegoma kwani ni ngome yao! Source ITV

Habari zaidi... Mawakala wa NCCR Mageuzi wanadai mgombea wao alishinda kwani ndiyo matokeo yaliokua kwenye vituo vyote..ila wanashangaa matokeo yametangazwa mengine!
 
Wakiruhusu tuu recounting imekula kwao zile kura za ziada zitaingizwa
 
Ila mwaka huu ccm imepatikana. Ni mwendoi wa peoples power tu hakuna cha mahakamani.
 
I know all the situation one months before i was there, jamaa anashindana na Mhindi mmoja na ukweli Jamaa wa NCCR-Mageuzi is very powerful guy na alikuwa nakubalika sana.....hiyo ngoma imepigwa. Sina hakika kama walikomaa vizuri mkulinda kura zao. Wao kama kweli ngoma ilisoma postive kwenye Vituo vya awali basi wasikubai ku-recount hapo watakuwa wameliwa.
 
Back
Top Bottom