Babati: Nifikie wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babati: Nifikie wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Twilumba, Apr 13, 2011.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  WanaJF habari za muda huu?
  Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uzoefu wa mji wa Babati aweze kunishauri sehemu salama ya kupata malazi, ntakuwepo huko kuanzia kesho tarehe 14-17.
  Naomba kuwasilisha, nikitegemea ushauri mzuri toka kwenu. Asante.
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Babati Hotel..
  Unatumia usafiri binafsi au basi? ukifika tu babati mjini ulizia Babati hotel..ila kwa hadhi za hotel za huko sifahamu sana, ni kitambo tangia nilipita huko..2007!!
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Asante Belinda, nilitakuwa na private car!, una namba zao plz?
   
 4. j

  jerry monny Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulizia white rose mkuu pazuri sana,utalala kwa utulivu na parking ya uhakika,hata bei sidhani kama ni kubwa.bado kijijini kule vitu sio ghali kivile.hakuna hata haja ya kufanya booking kwani uhakika hautasumbuka.ningekupa namba zao alakini nimetafuta bila mafanikio.na njia kutoka arusha sasahivi ni lami mwanzo mwisho. safari njema
   
Loading...