Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22).

Mtuhumiwa huyo, inaelezwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kumkata kwa panga marehemu aliyemkuta akivunja amri ya sita na mkewe.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi (ACP), Merrison Mwakyoma amesema tukio hilo limetokea saa 10 alfajiri ya leo, Septemba 8.

Kamanda huyo amesema Alfred alimuaga mkewe Habiba saa 10 alfajiri kuwa anakwenda kukata kuni na kumuacha akiwa amelala lakini mkewe huyo akampigia simu hawara yake Michael Jackson aende nyumbani kwake wakafanye mapenzi.

“Baada ya Jackson kufika walizunguka kwenye banda la ng’ombe na kutandika mgorore chini na kuanza kufanya mapenzi ila ghafla mumewe akarudi na kuwafumania,” amesema Kamanda Mwakyoma.

Kwa sababu Alfred alikuwa na panga mkononi, kamanda alisema alilitumia kumkata sehemu mbalimbali za mwili mpaka akafariki dunia. Mkewe ambaye alikuwa anamzuia asiendelee kumjeruhi marehemu naye alikatwa mkono uliodondoka chini.

“Tunaendelea na upelelezi wa tukio hilo na tunatarajia kumfikisha mahakamani Alfred baada ya uchunguzi kukamilika,” amesema kamanda Mwakyoma.

Kamanda Mwakyoma alitoa wito kwa jamii ya eneo hilo kuwa waoga katika kutembea na wake za watu kwani wivu wa mapenzi ni matukio yanayojitokeza mara kwa mara.

“Aliyeuawa ana miaka 25 na mwanamke ana miaka 22 mume aliyefumania ana miaka 48 wananchi wanatakiwa kuacha mapenzi yasiyo na tija kila mmoja achukue tahadhari,” amesema Kamanda Mwakyoma.

Mkazi wa kijiji cha Magara, Ally Ramadhan amesema Jackson ambaye bado ni kijana alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke huyo wa mtu kwa muda mrefu na alionywa mara nyingi.

“Alfred alishapewa taarifa kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na Jackson hivyo siku hiyo aliweka mtego ili aweze kuwafumani na ndivyo alivyofanya na kusababisha mauaji hayo,” amesema Ramadhan.
huyo jamaa mjinga asingemuua. Kama alijipanga kufumania angetakiwa achukue madume/njemba tatu na yeye wanne.

Wanapofika wawakamate wote mkewe na hiko kijamaa wawafungie ndani kwa minyororo, afu wawatembezee kifiro bila mafuta cha wiki moja. Hakuna kutoka ndani

Siku wanatoka ndani haieleweki nani mwanamke, nani mwanaume, wote tiyari wake za watu na marinda hawana.

Baada ya hapo apewe onyo kali, kwamba siku akirudia aje amebeba mafuta ya kutosha mifuko yote miwili.
 
“Aliyeuawa ana miaka 25 na mwanamke ana miaka 22 mume aliyefumania ana miaka 48 mmh huyo mzee alikosa wazee wenzake au huyo mwanamke kijana kwanini alikubali kuolewa na huyo mzee wakati kumbe anakijana mwenzake ambae anamfikisha kunako na kwa uwiano sahihi,muda sahihi,kipimo sahihi,uzito sawa n.k jamii ya huko inasemaje kuhusu huyo mzee kumuoa mwanae.
 
HU
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22).

Mtuhumiwa huyo, inaelezwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kumkata kwa panga marehemu aliyemkuta akivunja amri ya sita na mkewe.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi (ACP), Merrison Mwakyoma amesema tukio hilo limetokea saa 10 alfajiri ya leo, Septemba 8.

Kamanda huyo amesema Alfred alimuaga mkewe Habiba saa 10 alfajiri kuwa anakwenda kukata kuni na kumuacha akiwa amelala lakini mkewe huyo akampigia simu hawara yake Michael Jackson aende nyumbani kwake wakafanye mapenzi.

“Baada ya Jackson kufika walizunguka kwenye banda la ng’ombe na kutandika mgorore chini na kuanza kufanya mapenzi ila ghafla mumewe akarudi na kuwafumania,” amesema Kamanda Mwakyoma.

Kwa sababu Alfred alikuwa na panga mkononi, kamanda alisema alilitumia kumkata sehemu mbalimbali za mwili mpaka akafariki dunia. Mkewe ambaye alikuwa anamzuia asiendelee kumjeruhi marehemu naye alikatwa mkono uliodondoka chini.

“Tunaendelea na upelelezi wa tukio hilo na tunatarajia kumfikisha mahakamani Alfred baada ya uchunguzi kukamilika,” amesema kamanda Mwakyoma.

Kamanda Mwakyoma alitoa wito kwa jamii ya eneo hilo kuwa waoga katika kutembea na wake za watu kwani wivu wa mapenzi ni matukio yanayojitokeza mara kwa mara.

“Aliyeuawa ana miaka 25 na mwanamke ana miaka 22 mume aliyefumania ana miaka 48 wananchi wanatakiwa kuacha mapenzi yasiyo na tija kila mmoja achukue tahadhari,” amesema Kamanda Mwakyoma.

Mkazi wa kijiji cha Magara, Ally Ramadhan amesema Jackson ambaye bado ni kijana alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke huyo wa mtu kwa muda mrefu na alionywa mara nyingi.

“Alfred alishapewa taarifa kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na Jackson hivyo siku hiyo aliweka mtego ili aweze kuwafumani na ndivyo alivyofanya na kusababisha mauaji hayo,” amesema Ramadhan.
Hakuna aliyefumania akabaki salama
 
Back
Top Bottom