Baba yetu Raisi Magufuli hao wafanyakazi wa ajabu "ATCL" wafukuze shirika lianze upya

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Hakika Mh.Rais amezungumza mambo machache ila mazito yaliyolitafuna Shirika la Ndege ATCL.Miongoni mwa hayo
1.Wizi wa mafuta
2.Kuuza tiketi za ATCL Kwa mashirika mengine
3.Mwizi wa fedha za shirika huko Comoro kuongezewa mkataba n.k.
Namwomba Rais Magufuli ni vema Shirima likaundwa Upya Kwa kuwafukuza Kazi wafanyakazi wa zamani ili hao wapya waanze upya kama shirika lilivyoanza Na ndege mpya.Mh.Rais iruhusu Bodi itangaze nafasi za watumishi .Mh.Rais usikubali kuhama Na wezi.
 
KUNA VIGOGO WENGI N'A WALIYOPITA WALIKULAAA HELA SANA HAPO ATCL......
KUNA MTU ALIKUWA MEYA ANAITWA S.LONDA ALIKUWA UPANDE FEDHA.....WAKIFATILIWA HAWA AHHH WANA KESI ZA KUJIBU.....

OVA
 
HAKUNA SHIRIKA LILILOKUWA N'A WAHANDISI WAZURI KAMA ATC....SEMA WAHANDISI WALIINGILIWA SANA KAZI ZAO....TANZANIA KUNA WAHANDISI WA BOENG TENA WATAALAM KWELI WAPO TU KWA SABABU SHIRIKA HALINA NDEGE HIZO WAO WAMEKUWA HAWANA AJIRA...

Back
Top Bottom