Wanakuja, nitarudi badae kuwasikia
ahsante kwa ushauri wako . Mungu akubariki akuzidishe imani na upendo.Nadhani wengi kati yetu tutazidi kuzingatia ushauri wako huu ..............
nimejifunz jambo la muhim asubuh ya leo"usiingiz yaliyo pita ktk ndoa",kusali na familia"shukrani mkuu
Asante sana baba
Ahsante sana mkuu, somo kubwa sana nimepata
Asante sana Nimeelewa somo baba.