Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
138
9
Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania, familia zetu zinatoa wito kwa watanzania wote kuungana na kulipigania taifa letu linamalizwa na wachache, tuna muomba mungu awasaidi katika vita hivi vya Rushwa na Ufisadi unaoendelea nchini kwetu bila kupingiwa kelele na viongozi wa nchi, na kuwa tetea viongozi wanao tuhumiwa.

Ninaomba viongozi wengine wajitokeze kuwakemea viongozi wetu waliyo nyamazia kimya Rushwa na Ufisadi, huu uovu, hii nchi siyo ya Kikwete,Lowassa. na Rostam.

Tanzania niya Watanzania.
Mungu uwasaidie amen
 
Hasara kumbe na wewe unajua kumuomba Mungu atusaidie? Kweli nimeaamini shetani aliekuwa amekuingia kuiomba Tanzania ianzishe vita ili kujitangaza CCN na BBC kama Iraq na Afganistan amekimbia baada ya maombi ya wana JF baada ya kugundua kuwa damu yetu hatutaki kuimwaga hovyo. Kwa vita hiii ya kupinga mafisadi bila shaka wengi tunakuunga mkono wewe na familia yako.
 
Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania,

Huyo Baba yako ni nani? Malecela? au...........Maana kuna wengine kweli wanania ya kuikomboa Tanzania. Na wengine wanatumia hiyo ya "kuikomboa" Tanzania na kuingia madarakani halafu wao ndio wanakuwa wafakamiaji wakubwa.
 
Nafikiri pengine tungewasaidia kujadili mchakato uweje ingekuwa vizuri zaidi ktk kulikomboa taifa letu
 
Hasara,
humu kuna watoto wa wakubwa wote,hadi yule binti wa sumaye,nasikia huwa wanatumwa na wazee wao kuja kuchukua nondo za humu na jioni wanaenda kuwwapelekea..

sasa hasara babo yako ni nani?Mwandosya?au baba yko ni DK Mwayembe?
 
Sasa wewe unayesema "baba yangu na...' wazo lako ni zuri lakini please stop using your dad for your own agenda. From the way you have put together your article, I think you are one of those kids who feels "cool" just because your dad is a somebody! well, please refrain from pushing "your dad" to our faces. We don't know him, and ....really don't want to know!

Well, having said that, I rather like your suggestion. I would also like to add that....

kikwete na maswahiba wake wote wajiuzulu (WALAZIMISHWE!!!!!), halafu Mzee Butiku aongoze nchi kwa miaka ilobaki hadi uchaguzi ujao. I rather believe in Mzee Butiku (not because I know him, or because he's a particulary good person) because

1. He is gutsy and daring! He's the very first person who has come right out in the open and called a spade for what it is....a spade!
We all know that Mkapa is a crook, a thief and a cheat! he belongs in jail or exile! But no one has said that to his face, but Mzee Butiku and Mwinyi have done that.

2. Mzee Butiku still remembers and believes in Baba wa Taifa. Rushwa ni adui wa Haki jamani....hakuna amani kama kuna rushwa na ufisadi! Maybe that's what Tanzania needs now....to embrace our history.

We have all proven some of Baba wa Taifa's words, that....JK and Lowassa were not fit to be this country's leaders before...and they are not ready now! So we should shout out loud for them to GET THE HELL OUT OF OUR BACKYARD!!!!!

I remember when I was proud to be a Tanzanian, when Baba wa Taifa was among the most respected leaders in the world. But now somebody please tell me this.... who the H_ _ _ is JK? A president who enjoys his UNNECESARY trips abroad? A leader who spends 2 WEEKS in the USA? A leader who likes to TAKE PICTURES with holywood and wanna-be celebrities??? Hebu niambieni....JK amefanya kitu gani significant tokea achukue uongozi - kitaifa au kimataifa? Jamani huyu si kiongozi sahihi, na anatuaibisha watanzania!

And when I say JK na maswahiba wake waachie ngazi, nina maana ya kila mtu aliyeko CCM. Why I say this? Because, Mimi tokea niko Primary school 1984... Malechela na akina Kingunge wako CCM, jamani hadi sasa bado wako humo tu? Madhambi yao hao mie sitaki hata kujaribu kuanza kuyasema hapa, lakini this tells us something... No wonder kuna matatizo tele nchini!

WAKE UP PEOPLE!
 
Kama Baba yako ni Mzee Malecela hana lolote.Anafahamika vema,afadhali Mzee Butiku aseme,huyo Mzee Malecela Katapila ingawa hayumo kwenye list of shame ya Dr.Slaa,yumo kwenye list of shame ya Baba wa Taifa iliyotolewa mwaka 1995.
 
LIST OF SHAME YA MWAKA 1995 ILIYOTOLEWA NA BABA WA TAIFA YOTE KWA SEHEMU KUBWA NDO INASHIKILIA SERIKALI NA CHAMA
No. 1 EL
N0.2 JK
No.3 JSM Katapila
No.4.........
Hapa unategemea nini? Tofauti hapa huyu katapila tatizo lake si ufisadi kama hao wengine ila ana tatizo la jingine tofauti na wenzake,ana tatizo la ki-uongozi
BAHATI MBAYA KABISA HATA WALE ALIOWAONA WACHAFU LAKINI ANGALAU AFADHALI KUMBE NDO WALIKUWA BEDUI NDANI YA NGOZI YA KONDOO
 
Mtu Mzima Salama,,kumbuka Yesu Alikuja Kukomboa Wenye Dhambi Na Si Waliokwisha Okolewa,,labda Mungu Ameamua Kuwaweka Waonyeshe Uchfu Wao Then Wakombolewe,,,tuzidi Kuwaombea Mungu Maana Hapo Ujawajua,,inasemekana Wanaanza Rasmi Ufisadi Term Ii,sasa Hivi Wako Hivi 2o11 Si Balaa,,zidisha Maombi Mungu Hawezi Kutuacha Ndugu Zanguni,,mbarkiwe Wote,,
 
Kama Baba yako ni Mzee Malecela hana lolote.Anafahamika vema,afadhali Mzee Butiku aseme,huyo Mzee Malecela Katapila ingawa hayumo kwenye list of shame ya Dr.Slaa,yumo kwenye list of shame ya Baba wa Taifa iliyotolewa mwaka 1995.

Mtu Mzima LIST OF SHAME YA MWAKA 1995 ILIYOTOLEWA NA BABA WA TAIFA YOTE KWA SEHEMU KUBWA NDO INASHIKILIA SERIKALI NA CHAMA
No. 1 EL
N0.2 JK
No.3 JSM Katapila
No.4.........
Hapa unategemea nini? Tofauti hapa huyu katapila tatizo lake si ufisadi kama hao wengine ila ana tatizo la jingine tofauti na wenzake,ana tatizo la ki-uongozi
BAHATI MBAYA KABISA HATA WALE ALIOWAONA WACHAFU LAKINI ANGALAU AFADHALI KUMBE NDO WALIKUWA BEDUI NDANI YA NGOZI YA KONDOO

1. Mr Joseph Butiku • Retired Government Officer
• Retired Private Secretary to the Tanzania First President
• Executive Director MNF (1996 todate)

2. John Malecela
From Wikipedia, the free encyclopedia
• Find out more about navigating Wikipedia and finding information •Jump to: navigation, search
John Samuel Malecela
--------------------------------------------------------------------------------
--------------------------------------------------------------------------------

Born 1934
Dodoma, Tanzania
Political party Chama cha Mapinduzi
John Samuel Malecela (born 1934) in Bugiri Dodoma, was Prime Minister of Tanzania from 1990-11-09–1994-12-07. He is currently vice-chairman of the CCM, and a member of the CCM Central Committee.

[edit] Education
Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
Ph.D. Honoris Causa (Humanities) - University of Texas 1977

[edit] Positions Held
Tanzania Permanent Representative to the United Nations - 1964-1966
Tanzanian Ambassador to Ethiopia and the OAU - 1967
Minister of Foreign Affairs - 1972-1973
Communication and Transport - 1973-1974
Mineral Resources and Agriculture 1975-1975
Minister in the East African Community - 1975-1976
Regional Commissioner of Iringa - 1980-1984
Member of the Group of Eminent Persons of the Commonwealth on South African situation - 1985
Tanzanian High Commissioner to the United Kingdom - 1989-90
Prime Minister and First Vice President 1990-1994
Vice Chairman of the ruling Party, Chama cha Mapinduzi (CCM) - 1995 to date
Member of Parliament for Mtera - 1990 to date

Eti hii ni hoja nzito? Kweli kwenye hii forum tunao masikini wa akili wengi tu, ila thank God sio wote!
 
Mkuu heshima yako mzee. Sorry nimeshindwa kuunganisha hii post na hii thread kilichokuwa kinajadiliwa. Hii CV ni ya nini hasa?
 
Hasara nimekupata jambo nitakuwa tofauti kidogo na Yaleyele, lakini ninachokuahidi ni kuwa ujio wa Papa utaweza kuliokoa taifa na pengine huyo ndio mzazio uliemkusudia.JK anajitahidi japo kwa kiwango fulani kuwakumbuka walezi katika imani.

Ushauri wangu ni kuwa kama Papa akishindwa kuwaadhibu mafisadi basi tutamuaomba Mchungaji afungue kesi mahakama kuu ili ile orodha ya aibu ishughulikiwe na mahakama, na sio wanasiasa.
 
Mkuu heshima yako mzee. Sorry nimeshindwa kuunganisha hii post na hii thread kilichokuwa kinajadiliwa. Hii CV ni ya nini hasa?

Ninafahamu nia na madhumuni ya hii topic kwa ujumla, sasa nilitaka kuwaelewesha wale waliomrushia matusi hapo juu makamu wa chama changu CCM, kuwa kwanza kuna tofauti kubwa ya ki-CV between Butiku na Makamu, na baadaye nitajaribu kuikata ishu yenyewe,

Kwa sababu kwanza hakuna ishu ila ni utoto, Butiku amesema Mkapa ajibu tuhuma zake, na makamu akasema the same kuwa Mkapa ajibu tuhuma, viongozi wengi bongo wamesema hivyo, na sisi hapa forum pia tumesema hivyo, sasa inatufanya hapa forum kuwa wakombozi kwa sababu tumesema Mkapa ajibu tuhuma zake?

Wewe Mtoto wa Mkulima, ninaamini kuwa sio muanzisha topic hebu niambie hasa nia na madhumuni ya hii topic ni nini kwamba aliyeanzisha topic ni mtoto wa makamu au what? Nafikiri umeyaona matusi ya mtumzima ndio nilikuwa ninamfahamisha kuwa kuna tofauti kubwa kati ya matusi yake na uwezo wa makamu kikazi, na makamu sio mwizi, list ya Mwalimu ni kweli alimsema vibaya makamu akamsema vizuri sana Mkapa, matokeo tumeyaona!

Ahsante Mkuu!
 
Mkuu,

Hii Bachelor ya Makamu ilifanywa kwa mwaka mmoja kule Bombay, inamaana Makamu alikuwa genius enzi zake?
 
Mkuu,

Hii Bachelor ya Makamu ilifanywa kwa mwaka mmoja kule Bombay, inamaana Makamu alikuwa genius enzi zake?

Bila ubishi.

Kama unakumbuka vizuri alipokuwa waziri wa mambo ya nje miaka ya 70 alivyokuwa anatoa vitu vyake, kwa kweli wanaokumbuka ....................na jinsi TZ ilivyokuwa wakati ule ndio mapambano ya uhuru wa Mozambique na mreno yalikuwa at its peak, Uchumi wa TZ haukuwa mbaya na mambo yalikuwa sawa unaishi kwa kutegemea mshahara. Dollar moja ilikuwa shilingi saba tu na pound shilingi ishirini tu.
 
Orodha mpya ufisadi hiyoo!

2007-10-20 16:04:30
Na Mwandishi Wetu, Jijini

Hatimaye orodha nyingine ndefu ya vigogo wanaotuhumiwa kurudisha nyuma jitihada za nchi katika kuwakwamua watu wake na dhiki za umaskini kwa sababu ya kujinufaisha wenyewe na familia zao iko tayari na wakati wowote ule inaweza kuanikwa hadharani.

Orodha hiyo inayotajwa kuwa na vigogo kibao maarufu, ni hatua inayofuata katika mfululizo wa moto mkali ulioanza kuweshwa hivi karibuni na Umoja wa Vyama vinne vya upinzani nchini, vikiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa
Wakizungumza na Alasiri hivi karibuni, baadhi ya viongozi wa umoja huo wamesema hadi sasa, wanasubiri muda tu ili waianike orodha hiyo mpya.

Mwenyekiti wa chama cha TLP ambacho kimeungana na CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi katika umoja huo, Bw. Augustino Mrema, amesema wanachosubiri ni utekelezaji wa ombi lao kwa Serikali juu ya kuundwa kwa tume huru ya kuwachunguza watuhumiwa.

`Ni mapema kuwataja waliomo katika orodha hii mpya... ila ni wengi, lakini siko tayari kwenda kinyume na msimamo wa umoja wetu... tumepania kuwataja kwa pamoja mbele ya wananchi pindi muda wa kufanya hivyo ukifika,` akasema Bw. Mrema.

Naye Katibu wa vijana wa CHADEMA, Bw. John Mnyika, amesema kuwa orodha hiyo ndefu inawahusisha vigogo kibao maarufu ambao wengi wamo katika Serikali ya sasa.

Lakini, kama Mrema, Mnyika naye alikwepa kuwataja majina moja kwa moja zaidi ya kutaja sifa zao hizo.

`Umoja wa vyama vyetu unafanya mambo kwa ushirikiano... kuwataja sasa bila makubaliano ya pamoja ni kukiuka utaratibu. Tutawataja kama ilivyokuwa katika orodha ya awali,` akasema.

Aidha, akasema siku hiyo ya kuwataja watu hao `wanaolostisha` uchumi wa nchi, itakuwa kama `surprise` (jambo la kustusha) kwa kila mmoja.

Hivi karibuni, wakizungumza na waandishi wa habari viongozi wa umoja wa vyama hivyo walisema mwezi ujao, watawataja watuhumiwa wengine wa ufisadi katika maandamano makubwa yatakayofanyika nchi nzima.

Wakasema watachukua hatua hiyo endapo Serikali itaendelea kupuuza ombi lao la kutaka kuundwa kwa tume huru ya kuwachunguza watuhumiwa.

Hata hivyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Jakaya Kikwete ameonya hivi karibuni kuwa si busara kuwatuhumu watu pasi na kufuata sheria za nchi.

Pia akawaonya wale wanaojipa mamlaka ya kuwa wao ndio polisi, wapelelezi, waendesha mashtaka na mahakimu kwa wenzao na badala yake, watumie sheria zilizopo katika kutenda haki.

Aidha, akasema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, PCCB inayo mamlaka ya kumchunguza yeyote bila ya kujali cheo wala jina la mtu.

SOURCE: Alasiri

Habari za Leo
Waziri Ghasia aipa changamoto Bodi ya Chuo cha Utumishi

Mungai acharuka

Katibu mpya wa Wazazi CCM Dar aanza kwa kishindo

Orodha mpya ufisadi hiyoo!

Dokta Shein ataka TBS `ipigie debe` shughuli zake

Wananchi Kata ya Pangani wapania kujenga ofisi yao

Maonyesho ya biashara mwezi ujao kushuhudiwa buree!

Wanawake wapewa changamoto

More news....

-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
Timu ya Olimpiki Maalum inastahili zawadi

-----------------------------------------------
Business bits
Exchange rates
Dar Stock Exchange
Financial Times Editorial
Financial Watch
More business

-----------------------------------------------
Makala
Vipimo vya Lumbesa , utajiju vikataliwe nchini kote

Nyongeza ya mishahara sekta binafsi imezingatia ukuaji wa uchumi?

Umaskini ni chanzo cha uchafuzi wa mazingira

Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd. All Rights Reserved.

majina ya wafisadi yako wapi? mbona limekuwa jinamizi? we nnned names publically na what they have fisaded!
Kila siku tunasikia majina kesho. WE need them na what they have done.
 
LIST OF SHAME YA MWAKA 1995 ILIYOTOLEWA NA BABA WA TAIFA YOTE KWA SEHEMU KUBWA NDO INASHIKILIA SERIKALI NA CHAMA
No. 1 EL
N0.2 JK
No.3 JSM Katapila
No.4.........
Hapa unategemea nini? Tofauti hapa huyu katapila tatizo lake si ufisadi kama hao wengine ila ana tatizo la jingine tofauti na wenzake,ana tatizo la ki-uongozi
BAHATI MBAYA KABISA HATA WALE ALIOWAONA WACHAFU LAKINI ANGALAU AFADHALI KUMBE NDO WALIKUWA BEDUI NDANI YA NGOZI YA KONDOO
El
 
Back
Top Bottom