Baba yangu kikwete sikia kilio changu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba yangu kikwete sikia kilio changu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Jan 6, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kilio nalia mbele ya watz wenzangu kukuambia wewe ambaye ni rais wangu afu ni baba yangu hivi kwa nini husikii watu wakiishauri familia yetu na taifa letu kwa ujumla kwa nini wewe baba unakaa kimya tu na kuzidi kutabasamu wakati ukweli ukija nyumbani unakasilika? Kwa mfano watu wanakushauri na kukuambia mambo yafuatayo wewe unakaa kimya tu?:
  1. Wewe umeshiriki dowans haukatai wala haukubali maana yake ni kweli baba
  2. Wewe ulichakachua ushindi wa dk slaa kwa kutumia tiss afu we umekaa kimya kama sio kweli vile
  3. Wewe ulisaini mkataba wa iptl mpaka leo unakula 10% we kimya kwa hiyo ni kweli
  4. Wewe kwenye epa upo afu kimya unaunda tume tume tu ya mafisadi kama hosea
  5. Wewe unawatetea mafisadi wasifungwe tena kasema mteule wako hosea afu we unatabasamu tu
  6. Wewe umeanzisha siasa za mtandao afu we kimya tu
  7. Wewe umenzisha hoja za udini tokea uingie lakini baba sikusikii ukikemea kwa nguvu
  8. Baba pale msoga kwetu kule wahindi wanatujengea majumba sijui ya nini wkt wahindi si watu wazuri urafiki na wahindi baba umeanza lini?
  9.
  Na mengineyo baba badilika bwana si tunakuamini ka baba kweli kweli hawa watu wa nje ya nyumba wanapiga kelele tu.

  Nawasilisha kilio changu

  mchango unaruhusiwa
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :hat:
  I doubt spending a lot of energy killing a dead snake....That father of you is irreparable. Neither life nor death do deserve him
   
 3. Double X

  Double X Senior Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KIKWETE just a MORON!!!! tusimtegemee kwa lolote, tumlilie mwenyezi MUNGU tu.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kikwete is just Erinaceous
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani napmba baba yangu jk naye awe anapelekewa hizi taarifa za jf ili ajue hata mimi mtoto wake namchekea usoni wkt moyoni namng'ong'a sana
   
Loading...