Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Mbona kamuheshimu endelea kukaa hapo siku atamwita 'we kenge'ndio utajua kwa nini watu wakioa have wanaenda kupanga
 
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Umasikini ni kitu kibaya sana ndugu yangu. Endelea kumuomba Mungu uweze kuhama hapo kwenu au angalau upate watoto ili aitwe Mama Shaban
 
Tatizo sio kukaa sehemu moja na baba wakuu,, hapa ni suala la heshima kukosekana tu waweza kuhama ukaenda mbali lakini utashanga dingi akawa anakuja kuwatembelea kwenu na akaendelea na tabia hiyo ya kuita "wewe"
 
Habari ya mtoto wa mwisho ni kutafuta kichaka cha kuficha makosa yako.
Una mwenza miaka 6 bado unahisi wewe mtoto mdogo wa kuishi nyumbani kwa wazazi wako?

Baba yako anakosea kumuota mkeo wewe.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwani wewe lina ubaya gani 🤷🏼‍♀️ ...mpo kwake hivo anaweza anavojisikia yeye
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Dah
 
Back
Top Bottom