Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,599
2,000
JAMAN ACHENI MASIHALA JMN
HII KITU NAISHI YAO KABISA
kunawenggine naona wako serios coz wana jibu ninachokiwaza mimi
NAOMBEN JAMN SIJAMLAZIMISHA MTU KUNISHAURI
Umeomba ushauri, kwa hiyo usiwapangie watoa ushauri aina ya ushauri unaoutaka. Ukiomba ushauri, kuwa tayari kupokea kila kitu... Kuna pumba, points, matusi, kejeli, na ushauri wa kujenga pia utakaoupata, utapata pia hata ushauri ambao hukutaka kuusikia. Mwisho wa siku wewe ndo mfanya maamuzi.
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,455
2,000
We unaona ni sawa mtu kuitwa wewe. We baba yako anakuitaje?
Kwanini unaowa unaendekea kukaa nyumbani kwenu muda wote huo.
Vijana fanyeni kazi hata kulima bustani panga hata chumba kimoja uwe huru kwako. Sasa hapo utakuwa lini?
Usiogope majukumu fanya kazi.Kazi sio lazima uajiliwe fungua hata genge basi.
Huyu mtoa mada atakuwa Ni msukuma,wasukuma Wana mifumo ya maisha ya ajabu Sana,mtu umeoa bado unalazimisha kuishi kwa baba na mama yako? Mtoa mada Hama hapo kaanzishe familia yako!!! Maana ya kuoa Ni pale unapoona matatizo yako umeshayamudu hivyo unatafuta na ya mtu mwingine ili nayo uyamudu,Kama ulioa kwa ajili ya ngono pole Sana.

Kuweka kumbukumbu sawa na Mimi ni msukuma,Ila Ni mtu ninayepinga Sana baadhi ya mifumo ya maisha ya ajabu Kama ya mtoa mada
 
mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
2,985

Kasema kwao kuna nyumba kubwa siyo banda la njiwa

Sasa wenzie wanaojitegemea huko sijui kwao walikuwa wanaishi kwenye viota!!!!!
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
3,224
2,000
mkuu ulitaka baba yako amuiteje mkeo?

namaanisha utafurahi akimuita kwa jina gani?

amuite mwanangu? au amuite halima?

ni kweli jina "wewe" limekaa kidhereu dhereu hivi!

umeshawahi kuchunguza tabia za mkeo?

huenda mkeo anatabia za ajabu na baba yako anashindwa kukwambia

anataka ujiongeze!

nina uhakika mke anaejielewa hawezi kudharauliwa na baba wa mumewe.
 
Mumlii

Senior Member
Mar 14, 2021
149
250
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Jiulize, we huwa anakuita jina lako? Kama na wewe huwa anaita wewe ,hlo asichukulie kitu kikubwa. Kingne n jinsi gani baba ako amemchukulia ,binadamu anaweza kukudhararu ila usijue kabisa.
 
Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
4,855
2,000
Huyo Baba yako anaonyesha dharau kwa huyo Mke wako fanya juu chini ukaishi sehemu nyingine, usibweteke eti wewe ni Mtoto wa mwisho ina maana ukiwa Mtoto wa mwisho hutakiwi kuwa na Nyumba yako?
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
15,989
2,000
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Mkuu,hivi umebalehe kweli?
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,796
2,000
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwa hiyo mtoto wa mwisho anakuwa amefungwa Kwa Bolt Kukaa Nyumbani? Acha kudeka kijinga ondoka hapo
Inatakiwa siku moja huyo baba awakate makofi wote
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,521
2,000
Wewe na mke wako wote hamjitambui,ndio maana baba yako anawadharau...utaoaje mke wakati bado unaishi kwenu,na hujaanza kujitegemea? Ukitaka heshima irudi,jenga mjengo mjini na ukaishi na mkeo huko; hapo mzee wako ndio atakupa heshima. Badala ya wewe kumlea baba yako,wewe ndio unamwongezea mzigo wa kuwalea nyie...Inabidi uende jando kijana.
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,521
2,000
Nidharau sana hiyo, baba anapiga mpini, na mtoto naye anapiga mpini kwenye jengo moja; hiyo sio nyumba ya kulala wageni mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom