Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

:israel:
Mhh je huyo msichana alikuwa analala hapo kwenu na je mlikuwa mnampa siku ya kutoka akatembee na kukutana na vijana wenzie?? kwa umri aliokuwa nao ni lazima damu inachemka labda alianza kuonyesha dalili, tafuteni mtu aongee na mzazi wenu asimulie ilivyokuwa, msisikilize kesi ya upande mmoja

Kwa utaratibu akiingia ndani hatoki mpaka aende likizo kwao. Ila kuna vijana wengine - dereva na hausiboi. Sitaki kufikiri alijilengesha, angelalamika nini sasa?
 
very simple je alimrazimisha au ilikuwa ndo tabia yao ila baada ya bi mkubwa kushtukia ndo anajidai kwenda polisi? au kulikuwa na kutokuelewana baina ya mama na baba ndo akafanya hiyo ishu?
Pole sana mkuu.
fikiri chukua hatua, fanya maamuzi..:A S cry:
 
Mmmmm ahah, pole dada, Pia Maombi yanaweza kusadia, mmm maana hii ni ngumu.
 
:israel:

Kwa utaratibu akiingia ndani hatoki mpaka aende likizo kwao. Ila kuna vijana wengine - dereva na hausiboi. Sitaki kufikiri alijilengesha, angelalamika nini sasa?

Mhh kosa mmelifanya wenyewe kila mtu ana hisia na matamanio ya kibinadamu, jamni labda huyo binti kaamua kuharibu ndoa ya watu ili mama yetu atoke na yeye ajinafasi?? nani asiependa maisha bora hao ma houseboy kaona hawamfai na inawezekana ikawa ni tabia yao kati ya mdingi na huyo msichana ila wamekorofishana sehemu akaamua kumharibiana.. Stuka ndugu ndoa nyingi zinaharibiwa na hawa wasichana..... ohooo mie simo
 
sorry am late i have to log out. piga simu number 0788545614 kwa msaada hasa kwa huyo binti na familia kwa ujumla
 
Yeah. She deserves the best care in the whole world. Kwa sasa ana hasira sana. Mimi pia nina hasira sana kwa kweli I rally hope she is not pregnant na hana hayo maradhi.
Its true wazazi wamekuwa na ups and downs zao. Ila hili jamani, aibu sana. Wanawake wote hao huko nje, na hela unazo, who rape someone?

Ukitaka uende vizuri na uwe na a voice of reason, punguza hasira (najua si rahisi but try), jaribu kumuangalia babako na kumuelewa (you are a man, try is persprctive), na zingatia katika wote mamako na huyo binti ndo wanahasira na wana luxury kidogo ya kukosa reasoning. From hili suala usiangalie tu disadvantages - advantage ni kua najua wewe ni mtu mzima but believe toka hii issue you wll feel like you are more grown up...
 
very simple je alimrazimisha au ilikuwa ndo tabia yao ila baada ya bi mkubwa kushtukia ndo anajidai kwenda polisi? au kulikuwa na kutokuelewana baina ya mama na baba ndo akafanya hiyo ishu?
Pole sana mkuu.
fikiri chukua hatua, fanya maamuzi..:A S cry:

Hawakufumaniwa mama alirudi akamkuta msichana analia ndipo zogo likaanzia hapo. siku hiyo mzee alirudi usiku wa manane
 
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku 2 kabla ya mimi kuwasili.
Baba yangu ana umri wa miaka 70 plus. Mama yangu yupo Mid 60s. Ilitokea kwamba wana housegirl wa umri wa miaka 18 hivi toka maeneo ambayo hutoa wasichana wengi wa jinsi hii.
Bila kupamba jambo hili, baba yangu amembaka huyu msichana wakati mama hayupo. Msichana alitaka kwenda kushitaki polisi ila aliombwa sana na ndugu zangu asifanye hivyo.
Jambo hili limeleta vurugu kubwa sana nyumbani. Hakuna anayetaka kungea na mzee na mama amesema anafunga mizigo yake arudi kwao (at that age?). Watoto tumebaki tunashangaa hatujui la kufanya maana wale ni wazazi wetu na tunaona aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo). Pia watu wa dini unaanzaje kuwaelezea? Tunajiuliza kama huyo binti amepata ujauzito je? Kama akiamua kushitaki polisi je?
Yani sijawahi kupata fedheha kama hii. Hata sisi kwa sisi hatutaki kulizungumzia jambo hili.
Tumsaidieje mama?
Tuokoeje ndoa yao? Mzee hataki kukaa nyumbani safari za hapa na pale haziishi!
Tumsaidieje yule binti wa watu na trauma hiyo?
Naombeni msaada, bila matusi tafadhali. Mbakaji akiwa mbali rahisi kusema - afungwe, ila baba yako unasemaje?

Kwanza kabisa naweza kusema wewe mtoa mada hii ebu niangalie jina lako kwanza... Ooh Chupaku, HUNA ADABU hata kidogo tena naweza kusema umemkosea adabu Mzee wako (I mean Baba yako Mzazi), napata wasi wasi kama huyo uliye muelezea hapa ni baba yako kweli au ni baba wa kambo au wa Kufikia.

Haiwezekani jambo kama ili la kifamilia mshindwe kulizungumzia uko uko nyinyi kwa nyinyi, mpaka ulilete hapa hadharani, kwani unafikiria watu hawakujui wewe Chupaku ni nani? Nikiangalia IP tu hapa najuwa unaandika kutokea wapi na unatumia mtandao gani.

Hivi uko kwenu ukufunzwa adabu na heshima? Ukuambiwa kuwa mambo yanayo husu familia huwa yanatatuliwa kifamimilia!? Hakuna wazee kwenye ukoo wenu, au mzee aliye baki hai ni Baba na Mama Chupaku tu!?

Siku mkeo akikunyima unyumba pia utaleta humu JF ili kupata ushauri? Grow up my friend, this is not funny.

Alafu unadai eti nanukuu "...aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo)...."

Sasa unataka kosa la mtu mmoja kuhumiwa ukoo mzima, unacho kiogopa kuongea na wake zenu nini na unacho kifanya hapa ni nini.

Yaani hapa unataka kudhihirisha kuwa wewe unamini watu walioko JF kuliko spouses wenu, familia yako wewe na ndugu zako na hata wazee wa Ukoo wanu.

Maybe you better think twice next time my friend before you just post mambo ya kifamilia.
 
Two things:

1 Pamoja na matibabu, I think you guys need to and should compasate this poor girl, rape is no joke!

2.Kwa wazazi, rather than trying to get them back together immediatelly, just let them be at least for the time being. Ila be very supportive
especially to your mother. Since at 60 its almost impossible for her kurudi nyumbani like she wants to, provide her with an alternative
maybe aje kuishi na mmoja wenu, or mnaweza hata mka-rent a place for her, where she can be able to cry/grieve and resolve her
feelings privately. All in all give her time, to deal with this na sio kutaka kumsuluhisha na mzee haraka hivyo
 
Huyu Mzee ana PEPO WA NGONO AU kitaalam SEXUAL MANIAC.

Kwanza ni kum-consell mama na mtoto wapone majeraha, kisha kudeal na MZEE WA MAPEPO.

Huyu mzee anastahili kwenda JELA kutumikia kifungo cha miaka 30, HUKO atakutana na wenye mapepo wenzake WANTAFUNE na yeye aone raha ya kutafuna kwa nguvu. Kisha pepo wake watamtoka au watashika adabu.

wabongo tumekuwa na tabia mbaya sana ya kulea maovu, tunalea na kukingia kifua maovu mengi kuanzia ndani ya familia zetu hadi kwenye ngazi za serikali, ufisadi, umalaya, ufataki,ulevi, n.k. Hii ni aibu kubwa, huyu anatakiwa kuhukumiwa kwa kosa lake hata km ni baba.

Mimi kuna watu ambao siwezi kuwasamehe:

1. MBAKAJI
2. JAMBAZI
3. ANAYETAFUNA WAKE ZA WATU

HAWA ni watu wa kuondoshwa kabisa ktk jamii. kungekuwa nauwezekano wa kuwapeleka sayari yao ingekuwa poa sana. hawafai, msiwaonee huruma.:bange:
 
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku 2 kabla ya mimi kuwasili.
Baba yangu ana umri wa miaka 70 plus. Mama yangu yupo Mid 60s. Ilitokea kwamba wana housegirl wa umri wa miaka 18 hivi toka maeneo ambayo hutoa wasichana wengi wa jinsi hii.
Bila kupamba jambo hili, baba yangu amembaka huyu msichana wakati mama hayupo. Msichana alitaka kwenda kushitaki polisi ila aliombwa sana na ndugu zangu asifanye hivyo.
Jambo hili limeleta vurugu kubwa sana nyumbani. Hakuna anayetaka kungea na mzee na mama amesema anafunga mizigo yake arudi kwao (at that age?). Watoto tumebaki tunashangaa hatujui la kufanya maana wale ni wazazi wetu na tunaona aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo). Pia watu wa dini unaanzaje kuwaelezea? Tunajiuliza kama huyo binti amepata ujauzito je? Kama akiamua kushitaki polisi je?
Yani sijawahi kupata fedheha kama hii. Hata sisi kwa sisi hatutaki kulizungumzia jambo hili.
Tumsaidieje mama?
Tuokoeje ndoa yao? Mzee hataki kukaa nyumbani safari za hapa na pale haziishi!
Tumsaidieje yule binti wa watu na trauma hiyo?
Naombeni msaada, bila matusi tafadhali. Mbakaji akiwa mbali rahisi kusema - afungwe, ila baba yako unasemaje?

mmmmh inasikitisha saaaaana
 
Kwanza kabisa naweza kusema wewe mtoa mada hii ebu niangalie jina lako kwanza... Ooh Chupaku, HUNA ADABU hata kidogo tena naweza kusema umemkosea adabu Mzee wako (I mean Baba yako Mzazi), napata wasi wasi kama huyo uliye muelezea hapa ni baba yako kweli au ni baba wa kambo au wa Kufikia.

Haiwezekani jambo kama ili la kifamilia mshindwe kulizungumzia uko uko nyinyi kwa nyinyi, mpaka ulilete hapa hadharani, kwani unafikiria watu hawakujui wewe Chupaku ni nani? Nikiangalia IP tu hapa najuwa unaandika kutokea wapi na unatumia mtandao gani.

Hivi uko kwenu ukufunzwa adabu na heshima? Ukuambiwa kuwa mambo yanayo husu familia huwa yanatatuliwa kifamimilia!? Hakuna wazee kwenye ukoo wenu, au mzee aliye baki hai ni Baba na Mama Chupaku tu!?

Siku mkeo akikunyima unyumba pia utaleta humu JF ili kupata ushauri? Grow up my friend, this is not funny.

Alafu unadai eti nanukuu "...aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo)...."

Sasa unataka kosa la mtu mmoja kuhumiwa ukoo mzima, unacho kiogopa kuongea na wake zenu nini na unacho kifanya hapa ni nini.

Yaani hapa unataka kudhihirisha kuwa wewe unamini watu walioko JF kuliko spouses wenu, familia yako wewe na ndugu zako na hata wazee wa Ukoo wanu.

Maybe you better think twice next time my friend before you just post mambo ya kifamilia.

Nashukuru kwa ushauri wako. Kwa sababu haukuwa na la kuchangia basi pita tu na kwaheri. Hiyo ni siri basi? anajua hausiboi, dereva, mama, baba, watoto, may be hata ,majirani. Ubake halafu udhani ni siri na wanao wafiche siri yako? Nimetaja jina hapa?
Ila sikulaumu maana najua kuna watu wana desturi hizi nazo ni mambo ya kawaida sana. siku yakikukuta ficha hiyo siri, hata ikiwa ni mwanao, nyamaza kimya muoze kwa aliyembaka.
 
Hivi umenisoma kweli au umekurupuka kwa hasira kujibu kile nilichokibandika hapa...? Rejea tena kusoma bandiko langu.

Kumbe si siri sasa kilichokufanya wewe kuona aibu hata ku-share na spouses wenu ni nini....!?

Narudia tena kusema kama ukuliona ili... Je Hakuna wazee kwenye ukoo wenu, mkayazungumza!?

Mpeleke kwenye vyombo vya sheria kama kweli unataka haki itendeke na si kuanika kila kitu kwa watu ambao hawakuhusu, eti tu kwa kuwa majirani na house boy na wengine wanajua. Ila umesahau kuwa sisi si katika majirani zako.

Najuwa sana imekugusa nadhidi kusisitiza kuwa HUNA ADABU.
 
babako ni mtu mzima,hayo naona kama ni mambo ya kumezea,kwanza hukutakiwa kulileta hapa,jifanye hayajatokea,kaa kimya endelea kumpa heshima dingi wako,watanzania mnapenda sana kushabikia mambo yasiyo na manufaa kama haya
 
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku 2 kabla ya mimi kuwasili.
Baba yangu ana umri wa miaka 70 plus. Mama yangu yupo Mid 60s. Ilitokea kwamba wana housegirl wa umri wa miaka 18 hivi toka maeneo ambayo hutoa wasichana wengi wa jinsi hii.
Bila kupamba jambo hili, baba yangu amembaka huyu msichana wakati mama hayupo. Msichana alitaka kwenda kushitaki polisi ila aliombwa sana na ndugu zangu asifanye hivyo.
Jambo hili limeleta vurugu kubwa sana nyumbani. Hakuna anayetaka kungea na mzee na mama amesema anafunga mizigo yake arudi kwao (at that age?). Watoto tumebaki tunashangaa hatujui la kufanya maana wale ni wazazi wetu na tunaona aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo). Pia watu wa dini unaanzaje kuwaelezea? Tunajiuliza kama huyo binti amepata ujauzito je? Kama akiamua kushitaki polisi je?
Yani sijawahi kupata fedheha kama hii. Hata sisi kwa sisi hatutaki kulizungumzia jambo hili.
Tumsaidieje mama?
Tuokoeje ndoa yao? Mzee hataki kukaa nyumbani safari za hapa na pale haziishi!
Tumsaidieje yule binti wa watu na trauma hiyo?
Naombeni msaada, bila matusi tafadhali. Mbakaji akiwa mbali rahisi kusema - afungwe, ila baba yako unasemaje?

poleni sana.

Inaonyesha mna ukaribu sana na mama yenu kuliko mzee.
Hatua ya kwanza, Ongea ki utu uzima na mzee. Mtake ushauri jinsi ya kulimaliza hili,
hapo nawe utapata kujua busara gani za kutumia.

Hatua ya pili, Ongea na mama yako, mtake ushauri jinsi ya kulimaliza suala hili.
Msikize kilio chake. Tumia busara za mzee, kilio cha mama, na busara zako kulisawazisha hili.

Hatua ya Mwisho, mtafute huyo binti House Girl. Mtake radhi, ...ikiwezekana tafuta njia ya kulimaliza
hili jambo 'kifamilia.' hata ikibidi kumlipa fidia.

Kupelekana Mahakamani hakutamvunjia heshima mzee wako pekee, nyie wote mtaadhirika
kwa kushindwa kulitatua tatizo hili 'kifamilia.' Achana na hao ndugu zako wanaoshindwa kuthubutu
hata kuongelea suala hili.

Kila la heri.
 
Hayo mambo ni mazito Ndg zanguni! Ila ningependa yule H G apate vipimo vya kama ameadhiridha kwa namna yeyote ugonjwa na bila kusahau km amepata ujauzito na kama vipi akiwa okey atafutiwe fungu la CASH TZ SHILLING akapige nayo kimya kwao. Bila kuwasahau wazee wa ukoo ktk kila ha2a.
 
Vibabu at work! Kaka pole sana. Sina cha kusema kwa sasa. Kweli bora usikie/uone kwa jirani utakua na neno la kusema lakini baba/mama yako? Dah hawa madingi bana, wakikaa wamekauka na mikwara kibao huku home, kumbe dah, Mungu saidia.
 
jamani yaani baba kufungwa na umri ule inanisikitisha nimekosa hata la kushari hapa ,poleni na huu mkasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom