Baba yako kampa ujauzito mkeo!!!!

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Umeenda kusoma Kenya kwa muda wa miezi 6,nyumbani umemwacha Dingi na mkeo,unarudi unamkuta mkeo ana ujauzito kwenda kupima unakuta ujauzito una miezi 4,akili zinakuruka unamuuliiza mkeo anakueleza huo ni mzigo wa baba yako,unapigwa na butwaa,UTAFANYA NINI?
 
Ukimwacha mkeo na baba yako maana yake umemuolea baba yako
Sasa unafikiri mashine itachakachuliwa na nani wakati inahitaji mchakachuo
We subiri mdogo wako azaliwe na mkeo
 
ukoo tu umeongezeka
unasubiri mama mdg(mkeo)azae then unamlea mdg wako bila kumsimanga mamyako mdg...
unamrudia mkeo cz ni mwaminifu cz kaampa babako n nt mwngne...UTAMWACHAJE MKEO MIAKA 6?VOLKANO MFU IYO KWAN?
ULIYATAKA MWENYEWE..MIAKA 6???
eeh au ndo nyie mnafikiri mwanamke ni kibubuda anakaa tu kwa miaka 10 bila kuhisi...wakat wewe uko kenya ulikuwa unaruka ruka tu daily unapafom ye ye akusubiritu miaka 6???????
 
kwanini umwache mkeo kwa miaka6?
yeye ajiskii?cz najua wewe ulipo uko lazma utakuwa unafanya
japo ungekuwa unarud kwa mwaka mara moja apo poa angekuskilizia et 6yrs upo ukoooooooooooooo?????b realistc bwana....HAIWEZEKAN akae ivi iv
shukuru kampa babako hhhaha hahaa ahah.............!!!!!!!!!!!!
KUMBUKA PIA MKEO NI KIUMBE HAI ....sifa za kiumbe hai asi unazjua baba???ehh basi ndo ivo
 
ukoo tu umeongezeka
unasubiri mama mdg(mkeo)azae then unamlea mdg wako bila kumsimanga mamyako mdg...
unamrudia mkeo cz ni mwaminifu cz kaampa babako n nt mwngne...UTAMWACHAJE MKEO MIAKA 6?VOLKANO MFU IYO KWAN?
ULIYATAKA MWENYEWE..MIAKA 6???
eeh au ndo nyie mnafikiri mwanamke ni kibubuda anakaa tu kwa miaka 10 bila kuhisi...wakat wewe uko kenya ulikuwa unaruka ruka tu daily unapafom ye ye akusubiritu miaka 6???????

Rose miezi sita jamani hebu soma vizuri tena kenya tu hata si mbali Dar express fasta unafika
 
Mtama umeingia na kuanzisha thread 6 zote tata ..........

hebu punguza kasi kidogo, walau post moja kwa siku.
 
Rose miezi sita jamani hebu soma vizuri tena kenya tu hata si mbali Dar express fasta unafika

ahh km ni miez 6 basi tena
amkimbize uyo si mke ni jalala
sikusoma vzur mbwga...asi unaona macho yangu yenyewe yalivyo?????nina matatizo ya macho mimi jaman
AACHANE NA MKE..BABA AMSAMEHE CZ HANA LA KUFANYA KWA BABA.
 
dah!!mi namuachiaa mkee huo babaa na babaa sitaki mazoea nae,yani si boraa angechakachuliwaaa na mtu mwinginee:doh:
 
sio miaka 6 ni miezi 6,je miezi 6 tu nayo ni shida? basi tusisafiri hata kwenda kusoma kisa wake zetu?:doh:

Back
Top Bottom