Umeenda kusoma Kenya kwa muda wa miezi 6,nyumbani umemwacha Dingi na mkeo,unarudi unamkuta mkeo ana ujauzito kwenda kupima unakuta ujauzito una miezi 4,akili zinakuruka unamuuliiza mkeo anakueleza huo ni mzigo wa baba yako,unapigwa na butwaa,UTAFANYA NINI?
ukoo tu umeongezeka
unasubiri mama mdg(mkeo)azae then unamlea mdg wako bila kumsimanga mamyako mdg...
unamrudia mkeo cz ni mwaminifu cz kaampa babako n nt mwngne...UTAMWACHAJE MKEO MIAKA 6?VOLKANO MFU IYO KWAN?
ULIYATAKA MWENYEWE..MIAKA 6???
eeh au ndo nyie mnafikiri mwanamke ni kibubuda anakaa tu kwa miaka 10 bila kuhisi...wakat wewe uko kenya ulikuwa unaruka ruka tu daily unapafom ye ye akusubiritu miaka 6???????
Rose miezi sita jamani hebu soma vizuri tena kenya tu hata si mbali Dar express fasta unafika