Baba wa Watoto 11 Anaswa Akifanya Mapenzi na Mbwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa Watoto 11 Anaswa Akifanya Mapenzi na Mbwa

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Jan 3, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Saturday, December 26, 2009 9:14 PM
  Baba mmoja wa nchini Uturuki ambaye ana mke na jumla ya watoto 11, amenaswa akifanya mapenzi na mbwa. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 45 aliyetambulika kama N.I anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na mbwa.

  N.I ambaye ana mke na jumla ya watoto 11 alikamatwa akifanya mapenzi na mbwa huyo kwenye jengo moja jijini Istanbul ambalo ujenzi wake bado haujakamilika.

  Taarifa ya polisi ilisema kwamba N.I alikamatwa kufuatia taarifa iliyotolewa na wakazi wa eneo hilo waliomuona N.I akiingia katika jengo hilo katika hali ya kutatanisha.

  N.I alikamatwa na polisi katika ghorofa ya pili ya jengo hilo akiendelea kumalizia haja zake za kimapenzi kwa mbwa huyo.

  N.I alikamatwa na anaendelea kushikiliwa na polisi kufuatia tukio hilo.
  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3813586&&Cat=2
   
 2. A

  Audax JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  too much
   
Loading...