Baba wa taifa wa zanzibar huyu hapa na siyo karume

upotoshaji ni sehemu ya GREAT THINKERS......ZIMBABWE ILIPATA UHURU LINI?........kama ni OKELLO mbona alipata chake akasepa......!
BIBI TITI,SYKES na wengine umewajuaje kama si kwamba wamo katika historia hiyo hiyo....? ukiona uwanjani mchezaji anatajwa sana si kwamba wachezaji wengine hawapo bali mchango wa mchezaji huyo katika timu unaonekana....MESSI....MWAMEJA...KASEJA....S GERRALD n.k
 
Watu hawajui watakula nini nyinyi mnaona cha muhimu ni ubaba wa taifa? Hata wewe ukimpa mtoto wako jina la Taifa utaitwa baba wa Taifa au Mama wa Taifa! Vipara wanagombea chanuo!

Amandla......
 
baba yako mwenyewe alikuwa anagonganisha mambwa tu akiwa tumbo wazi, sasa we mwanae unamlaumu nyerere tu wakati hujui lolote? better keep quiet, baba wa taifa la zanzibar ni a.a. karume, period. thanks
 
kweli historia Tanzania zinapotoshwa sana..NYERERE alívyotoka musoma kina nani walimpokea dar- es-salaam na uhuru alitafuta peke yake tunamsoma na kumsikia peke yake.

Kote duniani walioongoza vyama vilivyowang'oa wakoloni ndio wanasika na kuvuma zaidi, Historia ya mapinduzi duniani ndio iko hivyo, kwa mifano michache,

1. Afrika kusini, mzee Nelson Mandela huku akina Oliver Tambo, Govan Mbeki ambaye ni baba ya Tabo Mbeki , Sizulu na wengine hawasikiki
2. Kenya, mzee Jomo Kinyata.
3. Tanzania, Nyerere
4. Zambia, Keneth kaunda.
5. India, Mahatima Gandi,
6. China, mao Te sungu
7. Cuba, Casto
8.Angola, Augustino Neto
9.Botswana, Khama
10.Misri, Nasar
11. Ghana, Nkruma
12. Ethipia, Haile salase
13. Malawi, Kamuzu Banda
14. Namibia, Sam Nujoma
15. Marekani, george washington
16. Zimbabwe, Robert Mugabe.
17. Urusi, Lenin

Hata katika ngazi ya makabila wanaovuma kuongoza vita dhidi ya wakoloni ni watemi lakini sio kwamba walipigana peke yao, kwa mfano,

1. Wahehe, Mkwawa
2. Wanyamwezi, Mirambo
3. Wachaga, Mangi sina
4. Wasambaa, Kimweri
21, Wangoni, Mputa
 
Hata katika ngazi ya familia umewahi kuona baba wa familia kuwa wawili? kuweko kwa baba mmoja katika familia hakuna maana wengine wenye kuleta tija katika familia hawapo. Na pengine unaweza kukuta mama ana kipato kikubwa kuliko baba.
 
Jambo linaloangaliwa zaidi katika mapinduzi au kumng'oa mkoloni ni uongozi imara wa mtu fulani uliwezesha kupata ushindi. kwamba, mikakati ya uongozi wake, uwajibikaji wake na kuweza kuwasimamia vema walio chini yake ndio nguzo ya ushindi uliopatikana. Hapa ndio unakuta jina moja linavuma zaidi ya mengine.

katika suala la mapinduzi ukitaka kufuata mchango 'role' wa kila mmoja alivyoshiriki utakuta ni wengi sana, hasa kama nchi ilipigana vita. Kamandi kuu ya jeshi mara nyingi vitani wanakuwa nyuma kupanga mikakati ya kusonga mbele lakini ukweli ni askari wa chini ndio hupigana mbele. kwa mfano, Mkuu wetu wa majeshi,Musuguri anasifika kwa kuongoza jeshi letu dhidi ya Uganda, lakini sio kwamba alipigana peke yake lakini kumbuka zaidi kwamba katika vita hivyo hata Maafisa Usalama wa Taifa, Mgambo hata baadhi ya Polisi ikibidi walikwenda vitani lakini hawatajwi mahali popote.

Hata mahala pa kazi baada ya mafanikio ya kampuni jina litakalobaki katika historia ya kampuni ni la mkurugenzi mkuu aliyeleta tija, kwamba katika uongozi wa fulani kampuni ilipata mafanikio makubwa.kwa mfano, NBC ni John Nsekela, TBL ni Anord Kilewo, Bima ni Gibbons Mwaikambo, RTC ni Bakari Mwapachu na kwingineko, lakini sio kwamba walifanya kazi peke yake.
 
kweli historia Tanzania zinapotoshwa sana..NYERERE alívyotoka musoma kina nani walimpokea dar- es-salaam na uhuru alitafuta peke yake tunamsoma na kumsikia peke yake.

Kuna untold story kwamba Nyerere hakuanzisha harakati za ukombozi wa Tanganyika. Kuna wazee fulani akina Kasela bantu, Mtemvu na wenzao hao ndio walikuea wanajua siri ya Uhuru wa Tanganyika. Sasa katika kikao cha tufanye nini tuwe huru kijana mmoja akasema, "kuna kijana mmoja nimzuri sana katika kupanga hoja na anazungumza kingereza izuri sana alikuwa anatusumbua sana kwenye debates huku mashule sasa hivi yukopale Tabora school huyu naona tukimtumaatatusaidia" Basi wakampa baiskeli amfuate huko Tabora ( Fikiria Kwa Baiskeli tuka Dar mpaka Tabora) ndipoakamfuata na kumwambia nimetumwa na wazee kule Dar wanatakakuongea na wewe. Akakubali ndio kwenda Dar. Kufika kule ndipo wakamkalisha chini a kumsimulia A to Z ya Uhuru wa Tanganyika na kumwambia kinachotakiwa sasa ni mtu aende kule UNO akaseme sasa tuko Tayari kujitawala. Julius akasema niko tayari ndipo wale wazee wa TAA wakajichangisha fedha ili kijana aeinde huko. akaenda na akatuwakilisha vizuri tu ukizingatia ni mwalimu na mzoefu kwenye madebate ya mashuleni huko. UNO wakamwelewa na wakatoa mambo ya kufanya yakikamikilika waripoti ili timu itumwe na baadaye kutoa tamko. Aliporudi wazee wakampokea vizuri na kwakuwa alitumwa na chama wanachama walipenda kujua nini kimesemwa huko ndipo ikabidi apitishwe kila mkoa kusimulia yaliyojiri huko. Na zaidi akawashauri kuwa hiki chama cha TAA kimekaa kama chama cha Wafanyakazi mnaonaje tukiunda kingine ambacho kitakuwa ni cha Waafrika wote waishio Tanganyika? Wazee pamoja na wanachama wa TAA wakakubali ushauri wake ndipo wakaundachama cha TANU kuanzia hapo ndiyo Julius akawa juu na kazi kule TAbora akaacha eti kuimaridha TANU mambo yalipo changanya wale wazee wakawa kama hwajawahi kuwepo duniani. Kwa hiyo ndiyo Untold story (hadithi ambayo hajasimuliwa) sijuikwabahati mbaya au makusudi.
 
ndugu zangu wa zanzibar kuishi kwa kuota jana kila saa na bila ya kujituma hatukusaidii wala haiisaidii zanzibar yenyewe

wao waliishi zama zao na wameondoka na ss tunaishi zama zetu, jee ktk zama hizi tumelifanyia nn Taifa?

unajua maCUF wao wanapinga sana Mapinduzi, na kwa choyo chao hawataki kumtaja kuwa Hassan Nassor Moyo ndio shujaa wa hali ya Amani ya leo na yeye ni mwanamapinduzi


wazanzibari wanajua kuwa kabla ya mapinduzi wenzao wenye asili ya kiarabu(tunakubali kuwa wazanzibari) waliwanyanyasa na kuona kuwa wazanzibari wenzao wenye asili ya kiafrika hawana hadhi sawa na wao hapo zanzibar

na pia tunajua kuwa Shamte alitumiwa tu, ili waarabu wazanzibar waendelee kuwanyanyasa na kuwabagua wenzao

na ilikuwa ngumu mzanzibar mwanamme wa kiafrika kuwa na mahusiano na mzanzibari mwanamke mwenye asili ya kiarabu, na hili lilichochewa na ndugu zetu wa kiarabu na kujenga chuki na matabaka

iweje kibaraka awe baba wa taifa ?
Kwa mara ya kwanza receive my heartily thanks.
Good unbiased, congrats!
 
Mr. Froasty,
The king of Spain is spaniard. The King of Sweden is Swedish. Therefore, mornachies in many European countries are legitimate institutions and deep rooted in history of those countries. On the other hand, the Zanzibar monachy is an institution that hadno root in East Africa. Therefore, Zanzibar revolution is more memorable than the independency of 1963. It's changed the landscape for good.

And who is the King of John Okello, Is he from Zanzibar ? Or Nyerere who had planned to invade Zanzibar for his own religious moto will make the whole mess legitimate!

You will have to excuse me on those propagandas. I believe if there were no Revolution, Zanzibar would have never been in the Union and probably far ahead then it is right now at the bottom of poverty.Thats a fact, take or leave it.
 
And who is the King of John Okello, Is he from Zanzibar ? Or Nyerere who had planned to invade Zanzibar for his own religious moto will make the whole mess legitimate!

You will have to excuse me on those propagandas. I believe if there were no Revolution, Zanzibar would have never been in the Union and probably far ahead then it is right now at the bottom of poverty.Thats a fact, take or leave it.

Hiki kidhungu jamani!

Amandla....
 
And who is the King of John Okello, Is he from Zanzibar ? Or Nyerere who had planned to invade Zanzibar for his own religious moto will make the whole mess legitimate!

You will have to excuse me on those propagandas. I believe if there were no Revolution, Zanzibar would have never been in the Union and probably far ahead then it is right now at the bottom of poverty.Thats a fact, take or leave it.

Froasty,

As I matter of fact, I won't excuse you. There's no propaganda because you are talking hypothetically. For your information the revolution and the union happened almost 47 years ago.

The revolution and the union might not be the best events to you, but who told you that Tanganyikans wanted to be together? Who told you Kenyans or Ugandans wanted to be the citizens of their modern countries? They didn't want. However, the dynamics of the world politics forced them to accept the new reality.

120 years ago, the territory of Zanzibar included the whole coast of East Africa. The area was more than 100 times the current area. However, the colonial dynamics confined Zanzibar to area you know today. So why don't reclaim the old Zanzibar?

It seems to me that you readly accept colonial-dynamics, but you find it repulsive to accept post-colonial ones. That's too bad.

Now with regard to Shamte being the father of Nation. Too bad, he is not. He didn't rise to the occassion when his nation needed him the most, and his tenure didn't have any significant impact.

Being a father of a nation is a previledge, and it's not a right. Some believe that Nyerere is the father of Nation. But I, personally, don't. Does it matter? No, it does not. The life has to move on.
 
Du hata Mangi Marealle wa Moshi Nchi ya Kilimanjaro (Arusha, Moshi & Tanga) alihutubia United Nations General Assembly huko New York hajaitwa Baba hivyo shmte nae,Mtemvu, Milambo, Mkwawa
ok Happy New Year

Jibu zuri sana.
 
Speech nimeituma lakini naona haijatoka sijui hawa mods wameifanyaje?
 
Back
Top Bottom