Baba wa taifa wa zanzibar huyu hapa na siyo karume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa taifa wa zanzibar huyu hapa na siyo karume

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Jan 2, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  JAMANI KWA WALE TUNAOFUATILIA HISTORIA YA TANZANIA TUNAFAHAMU ZANZIBAR ILIPATA UHURU MWAKA 1963 CHINI YA WAZIRI MKUU MOHAMED SHAMTE SASA IWEJE LEO HII TUMSAHAU SHAMTE KIRAHISI TU WAKATI YEYE NDIYE BABA WA TAIFA?

  On December 16, 1963, Prime Minister Mohammed Shamte, as the head of the independent and sovereign goverment of Zanzibar, delivered what was to be a historic speech to the United Nations General Assembly in New York.  NAOMBA MCHANGO WOWOTE KWA HILI


   
 2. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lazima asahauliwe, kwani Nyerere ndie aliepindua Zanzibar 1964 na kumueka Karume kwa jeshi lake.Sasa hapo mbona iko logic kabisa, wala hakuna utata!
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Yaheee, mie nataka urojo kwanza ndo nitoe zangu hizo comment
   
 4. m

  mzambia JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani kuna haja ya kuandika upya historia zetu zote
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni kweli huyo mohamed shamte hata mie nilishamsikia kuwa ndiye aliyeleta uhuru wa zamzibar. lakini izingatiwe kuwa alipinduliwa zanzibar kwa sababu alikuwa akiridhia kutumika chini ya sultani jamshid na hakuwa akiungwa mkono na wazanzibari walio wengi na hivyo alionekana kibaraka tu. but kwa kuwa ni politics any could happen and more had happened since then
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hata Mangi Marealle wa Moshi Nchi ya Kilimanjaro (Arusha, Moshi & Tanga) alihutubia United Nations General Assembly huko New York hajaitwa Baba hivyo shmte nae,Mtemvu, Milambo, Mkwawa
  ok Happy New Year
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  kweli historia Tanzania zinapotoshwa sana..NYERERE alĂ­vyotoka musoma kina nani walimpokea dar- es-salaam na uhuru alitafuta peke yake tunamsoma na kumsikia peke yake.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  na JOHN OKELLO aliyeongoza Mapinduzi ya Zanzibar Je? Ukisoma kitabu chake walivyomchakachua ndo utajua SIASA mbaya sana tuuuu
   
 9. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mzambia, nakuunga mkono. Historia za hizi nchi zetu mbili ziandikwe upya!
   
 10. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2011
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu soma vizuri historia ufahamu halafu ndio uje hapa na pumba zako.Mapinduzi yalipangwa hapo Tanga, fuatilia kitabu cha Dr.Harith kina ushahidi wa kitaalamu na kutosha kama Mapinduzi ya Zanzibar hayakuwa na support ya kutosha kutoka Zanzibar.

  Hivyo uhuru wa 1963 ni uhuru halali wa Zanzibar.Hoja ya kuwa usultani au ufalme, nadhani zipo nchi nyingi zinatumia mfumo wa kifalme wala mawaziri viongozi hawajaitwa vibaraka.Au mawaziri viongozi wote wa Europe ni vibaraka kwa kuwa wanatumikia wafalame ???

  Mapinduzi yamezaa muungano, hayana tija yoyote.Nikipewa mie urais nafuta pumba zote za muungano+mapinduzi daima.Ni jamhuri ya watu wa Zanzibar kwenda mbele!
   
 11. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,961
  Trophy Points: 280
  endelea kuota na kuota tena na tena...
   
 12. mapango

  mapango Member

  #12
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Saa ya ukombozi imefika, ukweli utakusuta!
   
 13. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  haya kayaandike kule kwenye upupu wenu watakuelewa sio watu walio huru kama hapa
   
 14. Mzuvendi

  Mzuvendi JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mr. Froasty,

  The king of Spain is spaniard. The King of Sweden is Swedish. Therefore, mornachies in many European countries are legitimate institutions and deep rooted in history of those countries. On the other hand, the Zanzibar monachy is an institution that hadno root in East Africa. Therefore, Zanzibar revolution is more memorable than the independency of 1963. It's changed the landscape for good.
   
 15. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo nyerere. nizaidi ya umjuavyo.
   
 16. c

  chamajani JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh, wana jf kama issue haimo ktk anga zao,wana majibu simple sijapata ona! Teh teh! wana jf kiboko!
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Nyerere kaua historia ya Tanzania akina Skyes hatuwaoni wala hawasikii
  Nyerere kaua historia ya Zanzibar

  wana Historia wamechakachua ukweli wa fuvu la Mkwawa , lile silo la kweli!!!

  Vita ya Idd Amin tulidanganywa!!

  yaanai bagala shaghala!
   
 18. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mmh, ndugu naona una hasira kweli. pole na yaliyokukuta na ubarikiwe na Bwana
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jan 2, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwa kulalamika tu! Akina Sykes kama wanataka wajipatie umaarufu si wachukue kalamu na karatasi waandike historia zao badala ya kukaa vijiwe vya kahawa na kulalamika?
   
 20. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hebu tupe hiyo speech
   
Loading...