Baba wa taifa kutangazwa mwenye heri, wakatoliki hili limekaaje?

Mkuu kwa hishma na taadhima nitake radhi.Niimeishi na shangazi yako kwa miaka ishirini na nane kama mke wangu na hajawahi kugoma kuniwekea maji bafuni wala kupuuza mimi kujifunga kitenge chake ninapoenda kujiswafi mwili na roho.Uminikosea hishma sana na unapaswa kupata baridi ya moyo,mwili hadi akili.
hahaa
 
Sasa unataka kumuhukumu mwalimu kwa kusaini kwake hati ya kifo badala ya ninyi kina gitogito mngemnasihi mwamuhehe Mwamwindi kuepuka hasira za e-kihehe?Binadamu tusiwe na visingizio kkwa makosa yetu kwa kusingizia matokeo hasi ya.mnachofanya.Kila kazi ina ujira wake.
Dini inasema kisasi ni cha MwenyeEnzi Mungu, mwanadamu huwezi kuhukumu au kuidhinisha kutoa uhai wa mtu aliyeumbwa na Mungu na kisha ukawa mtakatifu wake!
 
Kuna bwana mmoja alikuwa anaghasiwa na mkuu wa mkoa katika harakati za siasa za ujamaa kwa maana huyo bwana alikuwa na mashamba makubwa ambayo kwa mujibu wa mkuu huyo wa mkoa alikuwa anaonekana bwana yule ni bepari, basi jumapili moja akumfuata shambani kwake na kumfanyia kama mkuu mmoja aliyevamia kituo cha tv hapa Dar, basi bwana yule akamtwanga gobole ndugu mkuu akaaga ulimwengu, kisha bwana yule akafikishwa kunako koti na kuhukumiwa kifo, basi baba akatia saini bwana yule akanyongwa.
Nadhani kwakuwa umekaa na shangazi kwa miaka 25 utakumbuka vizuri sasa.
Mpe heshima yake wapenda haki tunapenda kumtambua kwamba ni shujaa Mwamindi
 
Mambo ya Wakatholiki hutayaweza mkuu, huko iliwahi kuweko cheti cha msamaha wa dhambi kwa marehemu.!
kwakweli hatuwezi kuyaweza " inaelekea huko kuna wajinga wengi mnoo ambao ndio wali wao... Hati ya kifo kwa marehemu !!!?
 
Mambo ya Wakatholiki hutayaweza mkuu, huko iliwahi kuweko cheti cha msamaha wa dhambi kwa marehemu.!

Hayo ya vyeti vya msamaha ni cha mtoto tu. Kali kabisa ni ile ya Ellen White kuwapigia wafuasi wake mbiu kwamba wauze Mali zao pasi na kuacha kumpelekea pesa kwa ajili ya kujiandaa kumpokea Yesu Mwaka 1905 wakati yeye hakuuza hata bata wake.Je,yeye Ellen alikuwa ndiye YESU aliyekuwa anangojewq kiasi kwamba hakuhitaji kujiandaa sanjari na wafuasi wake?
 
Parokia yangu ya ubungo msewe inaitwa parokia ya mtakatifu Paulo Mtume ubungo Msewe.

Wewe ni zwazwa wa mambo yahususuyo kanisa katoliki, mijitu mingi sana inakurupuka huko nakuja kuongelea Kanisa Katoliki bila kujua ni malaymen..!
Atakua member wa Muddy mnaumiza kichwa bule
 
Katika kujaribu kufuta ujinga wangu(kusoma-soma)nilikutana na habari ya uhuru wa tz humo ndani nyerere anatajwa kwenye matambiko kama yote ye-na wazee flani...stori imeelezea nyerere alikaa siku 3 ndani ya mapango huko BAGAMOYO akifundwa na mizimu(satan way)na alipotoka mle pangoni "aidia"ya mwenge ikazaliwa kimsingi ni moja Kati ya maagano ya mle pangoni...kwa hayo na mengine mengi as me hafai na nikumkosea Mungu
Basi sawa
 
Wengi ni 80 yrs kuja juu hawawezi kujua dark side za ticha,jiwe amfikii ticha hata robo ya upande wa PILI aliyofanya ticha,ticha alichofaulu ni kudhibiti Uhuru wa habari ili yasikike mema tu.Labda kama alitubu ana stahili.
Umezaliwa mwaka gani? maana humu kumejaa under 18 siku hizi mnasumbua kama nini ndo mana hatuingii kila mara kama zamani humu jf
 
Parokia yangu ya ubungo msewe inaitwa parokia ya mtakatifu Paulo Mtume ubungo Msewe.

Wewe ni zwazwa wa mambo yahususuyo kanisa katoliki, mijitu mingi sana inakurupuka huko nakuja kuongelea Kanisa Katoliki bila kujua ni malaymen..!
Mimi siwezi kukutukana kwa sababu ushajitukana kwa ulichoandika hapa! Tunaongelea utakatifu sio utume sasa mama we we uko parokia ya msewe mtafute katekista wako au hata mwenyekiti wa jumuia yako akufundishe katekisimo ndogo.
 
Mkuu,yawezekana upo katika hatua za mwanzo za kuandaa ushahidi wako usio mawaa.Hebu uwe mwenye kukusanyakusanya basi ndiyo utumwagie hoja.Hii uliyoileta ni dhaifu mnoo kama mgonjwa wa sotoka.
Sema hujui chanzo cha mada ni nini ungejua ungechangia vizuri hoja iliyopo ubaoni!
 
Ahsante kwa kukimbusha hili nalo maana hatuwezi kulaumu akina bush wa America tukaacha maelufu ya waganda waliokufa vitani bila kusahau wanajeshi na raia wa Tanzania
Kwahiyo angeacha tu Amini mwana wa Iddy achukue kipande cha ardhi ya Bongo mkuu?
 
kwakweli hatuwezi kuyaweza " inaelekea huko kuna wajinga wengi mnoo ambao ndio wali wao... Hati ya kifo kwa marehemu !!!?
Ni kweli wajinga wapo wengi sana tena tunajitoa muhanga kila siku ili twende tukapate K za bule mbinguni
 
Katika kujaribu kufuta ujinga wangu(kusoma-soma)nilikutana na habari ya uhuru wa tz humo ndani nyerere anatajwa kwenye matambiko kama yote ye-na wazee flani...stori imeelezea nyerere alikaa siku 3 ndani ya mapango huko BAGAMOYO akifundwa na mizimu(satan way)na alipotoka mle pangoni "aidia"ya mwenge ikazaliwa kimsingi ni moja Kati ya maagano ya mle pangoni...kwa hayo na mengine mengi as me hafai na nikumkosea Mungu
Pengine alitubu dhambi ya ule moto wa maagano wa kuzimu unao tafuna kodi zetu,japo wengi utaka uwekwe makumbusho
 
Katika kujaribu kufuta ujinga wangu(kusoma-soma)nilikutana na habari ya uhuru wa tz humo ndani nyerere anatajwa kwenye matambiko kama yote ye-na wazee flani...stori imeelezea nyerere alikaa siku 3 ndani ya mapango huko BAGAMOYO akifundwa na mizimu(satan way)na alipotoka mle pangoni "aidia"ya mwenge ikazaliwa kimsingi ni moja Kati ya maagano ya mle pangoni...kwa hayo na mengine mengi as me hafai na nikumkosea Mungu
Nashukuru kwa mchango yakinifu kuhusiana na mada tajwa hapa.
Nashauri na wachangiaji wengine wajielekeze kwenye matendo ya baba huyu akiwa hai na ukubarifu wake kuingizwa kwenye mchakato wa kuitwa mtakatifu.
 
Hayo ya vyeti vya msamaha ni cha mtoto tu. Kali kabisa ni ile ya Ellen White kuwapigia wafuasi wake mbiu kwamba wauze Mali zao pasi na kuacha kumpelekea pesa kwa ajili ya kujiandaa kumpokea Yesu Mwaka 1905 wakati yeye hakuuza hata bata wake.Je,yeye Ellen alikuwa ndiye YESU aliyekuwa anangojewq kiasi kwamba hakuhitaji kujiandaa sanjari na wafuasi wake?
Na Ellen ni mkatoliki kumbe
 
Inaelekea huelewi maana ya Yesu kushuka duniani! Kama wewe ni Mkristu basi bila shaka utakuwa ni wale Wa Vikundi vinavyojifunza ukristu.

Yesu alikuja kuwafanya wadhambi wawe marafiki zake na kisha waingie Mbinguni kula "Bata". Kama ndivyo, wewe unashangaa nini? Kama mwenye mbingu yake,Yesu Kristu, anawakubali wadhambi na kuwapokea wewe ni nani hata uhoji mchakato Wa kutangazwa Mwl.Nyerere, Mwenye Heri? Hebu jifunze hivi:

1, Mtume Petro ni Mtakatifu. Yeye alimkana Yesu wakati Wa mateso yake.
2. Paulo ni Mtakatifu. Alikaba na kuchinja wakristu wengi sana. Mbona hujahoji utakatifu wake?
Atakuwa kaelewa Yesu alikuja kutukamilisha ili tuwe safi
 
Back
Top Bottom