Baba wa Taifa kutaifisha nyumba za watu na kuunda shirika la msajili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Naomba kuelimishwa, Nyerere alitumia sheria gani kutaifisha nyumba za watu na kuzipa jina la msajili? Najaribu kufikiria say Rais aseme kuanzia leo mahekalu ya Mbezi/Masaki/Oyster Bay ni mali ya serikali! Mwalimu alitumia utaratibu upi wa kisheria.
 
Hata kama hakuna sheria akiamua kutumia ile power yake ya Urais..."presidential decree" anaweza......ingawa kwa mfumo huu sio rahisi sana wakati ule chama kimoja siasa ujamaa kujitegemea huruusiwi kumiliki njia kuu za uchumi etc......zote zinakuwa mali ya umma....hapo ndio alipopitia kutaifisha shule hospitali na majumba ya kupangisha
 
Hii ni dhambi moja wapo ya mwalimu
 
Hata kama hakuna sheria akiamua kutumia ile power yake ya Urais..."presidential decree" anaweza......ingawa kwa mfumo huu sio rahisi sana wakati ule chama kimoja siasa ujamaa kujitegemea huruusiwi kumiliki njia kuu za uchumi etc......zote zinakuwa mali ya umma....hapo ndio alipopitia kutaifisha shule hospitali na majumba ya kupangisha
aliwafidia? just for curiosity,
 
Kama ilivyo kwa mwizi mwingine hapa Tanzania, anaweza kupatikana na hatia ya kuhujumu uchumi, na mali yake ikataifishwa, ndivyo inaweza kuwa kwa mwingine yeyote.
Nani sasa alihujumu uchumi?
 
Naomba kuelimishwa, Nyerere alitumia sheria gani kutaifisha nyumba za watu na kuzipa jina la msajili? Najaribu kufikiria say Rais aseme kuanzia leo mahekalu ya Mbezi/Masaki/Oyster Bay ni mali ya serikali! Mwalimu alitumia utaratibu upi wa kisheria.

Hapo kabla jamaa hawakua na means ya kulinda maslahi yao, ila baada ya matukio ya utaifishaji na mengine ya aina hiyo ndipo wakaja na hizi mechanisms za Sasa yaani sheria, mikataba na mahakama za kimataifa kwa lengo la kulinda 'uwekezaji wao'. Hivyo tunavyojaribu kuwaza jambo hili yatupaswa pia tukumbuke kuwa zama na mazingira vimebadirika sana.
Lowasa alipokua waziri wa maji, aliwahi Fanya jambo Fulani pale City Water na watu wakamshangilia sana, tukajaribu kuonya lakini tukaonekana sisi si wazalendo. Jamaa walipokwenda Kule mahakama ya kimataifa nadhani kilichotupata mnakikumbuka.haya mambo yanapofika hatua hii huwa ni utekelezaji, mshindi huwa anakua ameshajulikana kipindi cha kusaini mikataba, huku mbele hats update idadi ya watu wengi namna gani wanaokuunga mkono huwa ni kazi bure, haitakupa ushindi bali faraja ya muda tu. Zaidi utakia unaupoteza muda wetu na kuliingiza taifa kwenye hasara nyingine kubwa zaidi.
Hata kama hakuna sheria akiamua kutumia ile power yake ya Urais..."presidential decree" anaweza......ingawa kwa mfumo huu sio rahisi sana wakati ule chama kimoja siasa ujamaa kujitegemea huruusiwi kumiliki njia kuu za uchumi etc......zote zinakuwa mali ya umma....hapo ndio alipopitia kutaifisha shule hospitali na majumba ya kupangisha
 
Naomba kuelimishwa, Nyerere alitumia sheria gani kutaifisha nyumba za watu na kuzipa jina la msajili? Najaribu kufikiria say Rais aseme kuanzia leo mahekalu ya Mbezi/Masaki/Oyster Bay ni mali ya serikali! Mwalimu alitumia utaratibu upi wa kisheria.

Ile ilikuwa ndio Mwanzo wa Laana kwa Taifa!
Azimio la Arusha ndio Msingi wa Laana kwa Taifa maana imelifikisha Taifa kwny akili za kuamini kuwa kila Mwenye Mali ni Mbadhirifu!

Mizengo Pinda baada ya kumaliza Chuo Kikuu 1974 akapelekwa Ruvuma kwa Muda mfupi sana kabla ya kurudishwa Dsm na kuwa Naibu Katibu Mkuu Ikulu nafasi aliyohudumu kuanzia 1974-2000 lakin hakuwahi kuwa na Nyumba ya kuishi katika Jiji la Dsm
Alipaswa kuhojiwa kwa uzembe
 
Hapo kabla jamaa hawakua na means ya kulinda maslahi yao, ila baada ya matukio ya utaifishaji na mengine ya aina hiyo ndipo wakaja na hizi mechanisms za Sasa yaani sheria, mikataba na mahakama za kimataifa kwa lengo la kulinda 'uwekezaji wao'. Hivyo tunavyojaribu kuwaza jambo hili yatupaswa pia tukumbuke kuwa zama na mazingira vimebadirika sana.
Lowasa alipokua waziri wa maji, aliwahi Fanya jambo Fulani pale City Water na watu wakamshangilia sana, tukajaribu kuonya lakini tukaonekana sisi si wazalendo. Jamaa walipokwenda Kule mahakama ya kimataifa nadhani kilichotupata mnakikumbuka.haya mambo yanapofika hatua hii huwa ni utekelezaji, mshindi huwa anakua ameshajulikana kipindi cha kusaini mikataba, huku mbele hats update idadi ya watu wengi namna gani wanaokuunga mkono huwa ni kazi bure, haitakupa ushindi bali faraja ya muda tu. Zaidi utakia unaupoteza muda wetu na kuliingiza taifa kwenye hasara nyingine kubwa zaidi.
Nashukuru kwa maelezo. Hivi City water tulinyolewa, siyo serikali ilishinda kesi. Tukumbushane
 
Ile ilikuwa ndio Mwanzo wa Laana kwa Taifa!
Azimio la Arusha ndio Msingi wa Laana kwa Taifa maana imelifikisha Taifa kwny akili za kuamini kuwa kila Mwenye Mali ni Mbadhirifu!

Mizengo Pinda baada ya kumaliza Chuo Kikuu 1974 akapelekwa Ruvuma kwa Muda mfupi sana kabla ya kurudishwa Dsm na kuwa Naibu Katibu Mkuu Ikulu nafasi aliyohudumu kuanzia 1974-2000 lakin hakuwahi kuwa na Nyumba ya kuishi katika Jiji la Dsm
Alipaswa kuhojiwa kwa uzembe
You have made my day!
 
Back
Top Bottom