tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Sitaki kutia neno hebu sikiliza audio hii ya baba wa taifa kuhusu utumishi wa umma. Tumerud nyuma miaka ya 60 mtu mmoja kuamua leo uwe na kaz au usiwe na kazi.
Nashauri tunapoendelea na utaratibu huu wa kufukuzana fukuzana tuamue moja tufute sheria za utumishi wa umma au tuzifate tuache utaratibu huu wa kutumbuana hata usiku wa manane wakati mhusika amelala!!
Naona wanachokifanya kwa sasa viongoz wetu wamerudisha unyampala kazn. Inaonekana ndio waliokua wanainung'unikia hii sheria ya utumishi wa umma kipindi cha mwalimu.