Baba wa taifa alichukia fikra za kitumwa miongoni mwa waafrika

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Lakini Leo tuna viongozi wa kisiasa ambao waabudu wazungu na kufikiri kwa msaada wa wazungu na kuwaabudu fikra za kitumwa
 
Na wamewageuza wafanyakazi wa serikali kuwa watumwa, wanawachokoza halafu wanawatimulia jf!!

Na wamewageuza wafanyakazi wa serikali kuwa watumwa, wanawachokoza halafu wanawatimulia jf!!

Kuna wale wanaenda kunywa chai na wazungu ,kila mashitaka kwa wazungu ,sijui wao ni nyani,hawajiamini kama wana akili ya kutatua matatizo yao
 
Back
Top Bottom