DASA JF-Expert Member Jan 6, 2011 1,031 301 Oct 14, 2011 #1 Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine. Hebu tutaje hao waliongezeka.
Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine. Hebu tutaje hao waliongezeka.
only83 JF-Expert Member Oct 15, 2010 5,343 2,525 Oct 14, 2011 #4 ....Upumbavu maana hii ni tofauti na ujinga,uzembe,masihara,kukosa umakini,visasi,umafia(kulishana sumu) nk
....Upumbavu maana hii ni tofauti na ujinga,uzembe,masihara,kukosa umakini,visasi,umafia(kulishana sumu) nk
M mharakati JF-Expert Member Sep 29, 2011 1,271 391 Oct 14, 2011 #8 EL,JK,Wahindi wenye hela, usalama wa taifa, ubepari uchwara unaosababisha viongozi wawe wabinafsi kupindukia hawa ndiyo maadui wakubwa waliongezeka toka Mwalimu atutoke
EL,JK,Wahindi wenye hela, usalama wa taifa, ubepari uchwara unaosababisha viongozi wawe wabinafsi kupindukia hawa ndiyo maadui wakubwa waliongezeka toka Mwalimu atutoke
T tusichoke JF-Expert Member Apr 2, 2011 1,316 216 Oct 14, 2011 #10 Adui mwingine ni undugulization katika uongozi wa nchi,wezi wa mchana wa madini na wanyama wetu wakishirikiana na viongozi wetu,viongozi kuua wenzao
Adui mwingine ni undugulization katika uongozi wa nchi,wezi wa mchana wa madini na wanyama wetu wakishirikiana na viongozi wetu,viongozi kuua wenzao