Baba wa taifa: Aliacha maadui wakuu watatu, hebu ongeza wengine

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine.

Hebu tutaje hao waliongezeka.
 
....Upumbavu maana hii ni tofauti na ujinga,uzembe,masihara,kukosa umakini,visasi,umafia(kulishana sumu) nk
 
EL,JK,Wahindi wenye hela, usalama wa taifa, ubepari uchwara unaosababisha viongozi wawe wabinafsi kupindukia hawa ndiyo maadui wakubwa waliongezeka toka Mwalimu atutoke
 
Adui mwingine ni undugulization katika uongozi wa nchi,wezi wa mchana wa madini na wanyama wetu wakishirikiana na viongozi wetu,viongozi kuua wenzao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom