Baba wa taifa akisisitiza jambo kuawambia wakuu wake wa jeshi hii ilikuwa kwenye vita gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa taifa akisisitiza jambo kuawambia wakuu wake wa jeshi hii ilikuwa kwenye vita gani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 15, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Baba wa Taifa Mwalim nyerere Akisisitiza jambo kuwaambia Wakuu wake wa Jeshi unakumbuka hii ilikuwa mwaka gani? na kwenye vita Gani? Meja General Mayunga na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania General Abdallah Twalipo.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Hii ilikuwa Mwaka 1978 na 1979 Vita ya kumuondowa Nduli idi Amin Dada wa Uganda Vita ya Kagera.


  Hebu tujikumbushe ya nyuma jamani...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,507
  Trophy Points: 280
  kumbe nyerere alienda kwenye uwanja wa vita
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Atakosaje kwenda wakati yeye alikuwa ni Jemadari Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania.
   
 5. k

  kinyongarangi Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu wa kulia ni gen. Msuguri siyo mayunga
   
Loading...