Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha IQ yake.