Baba mzazi wa marehemu Ramadhani Juma aliyeuawa katika ugaidi huo, Juma Ramadhani, alisema kuwa anashangazwa kuona jopo la askari wapelelezi wakifika nyumbani kwake Mianzini na kumtaka kukubali kutoa mwili wa mtoto wake bila uchunguzi ili usafirishwe kwenda kwao Tabora kwa mazishi.
"Hawa watu nashangaa wanadai kuna magari yapo manne kuwa nitapelekwa nyumbani, lakini nimekataa kwa sababu wanadai nisikubali Chadema kuhusika katika msiba huu, mimi sikubaliani nao kwa kuwa Mbowe alinisaidia mwanzo wa tukio hadi mwisho alipofariki mikononi mwake," alisema.
Alisema hawezi kumwacha Mbowe kwa kuwa ni msimamizi wake katika hatua zote.
Hata hivyo, Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, jana hakupatikana kuzungumzia madai hayo.
Kila alipopigiwa simu ya mkononi hakuipokea
SOURCE:NIPASHE
MY VIEW: HATA MALAIKA(WATOTO) WAMESEMA KUUNGA MKONO KAULI YA MBOWE KUHSU POLISI KUUWA WATU