Baba wa Juma Muhunzi awa mtu wa kwanza kujiunga ACT Pemba

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Baba wa Abass Juma Muhunzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti CUF upande wa Lipumba awa mtu wa Kwanza kujiunga ACT kule kisiwani Pemba.

#UlipoTupo.
54730738_574671773039342_8513922754716631040_n.jpg



abass.jpg
 
Zanzibar upinzani upo kwa sultan sawasawa mzee ngangari lipumba na wafuasi wajiandae wakalime tumbaku uko Tabora kwakua awamu inyokuja hatapata ata ruzuku na Lumumba hawamuhitaji tena hanafaida kwao kwasasa.
 
Kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amekabidhi kadi za wanachama wa ACT kwa familia ya Makamo mwenyekiti wa CUF Zanzibar Abasi Juma Muhunzi pamoja na ndugu wengine wa familia hio.

View attachment 1051997
Hii inamaanisha ingekuwa ni kwenye sanduku la kura basi jamaa angejikuta na kura moja tuu aliyojipigia mwenyewe.
Familia ingemtosa kabisaaaaa

Tehe tehe
 
Kwa nimjuavvyo maalim kule zanzibar hatabakisha mtu wote ACT.
Zanzibar kuna siasa kuliko sehemu yeyote ulimwenguni watu wake wana msimamo hatari sana

Na kama uchaguzi ujao utakuwa huru Wazanzibari wanaweza kutoa ujumbe mzito kuhusu harakati za kuwaulia chama chao cha siasa walichokijenga kwa jasho na damu. Hili siyo jambo dogo.
 
Zanzibar upinzani upo kwa sultan sawasawa mzee ngangari lipumba na wafuasi wajiandae wakalime tumbaku uko Tabora kwakua awamu inyokuja hatapata ata ruzuku na Lumumba hawamuhitaji tena hanafaida kwao kwasasa.
Kulima inahitaji uwe na shamba, la sivyo utajikuta unakuwa kibarua katika shamba la mwezio.
 
wewe umesoma skuli ya jioni, ni kwamba kule pemba ACT haijawai kuwa na mwanachama sasa Mzee Muhunzi kawa mtu wa kwanza kupewa kadi. Angalia kwenye picha
Kwani Maalim Seif mwenye kadi namba 1 ya ACT ni mtu wa Pemba ipi?
 
Maalim hakuchukulia kadi yake akiwa Pemba, mbona munaufahamu mdogo sana baadhi ya watu humu! Ndio yule aliyeambiwa nimefika saa 1 kasoro dakika 25 akaanza kubweka!
 
Back
Top Bottom