Baba wa Demokrasia Tanzania, Ali Hassan Mwinyi na Cabinet Meeting iliyochukua Dakika 3 - Machi 1990

POST TRUTH

Senior Member
Nov 18, 2016
104
146
Kuna jambo la kujifunza hapa....


ta_36-3.jpg




Tanzania Daily News front page 13 March 1990

The ‘Daily News’ brought out its biggest ever headline on March 12th 1990 to report the shortest ever cabinet meeting.

Ministers arrived in their cars and, according to a report in Dar es Salaam’s ‘Business Times’, expected to be there for perhaps three hours. Many instructed their drivers to leave and come back later.

But the meeting lasted only three minutes. President Mwinyi indicated that he wished all 26 Ministers and 14 Deputy Ministers to resign immediately !

He later explained that the reason was to fight corruption, which was rampant in all ministries and because of the lack of accountabilty. Explaining the absurdity of the extent of evil in society. Mr Mwinyi said that even peanut sellers had to bribe people in order to operate. “We all behave as if the others have money and only we don’t and must therefore get it” he said. The President added that retired civil servants, or others, were also being asked to bribe in order to get their benefits. “If they refuse to give bribes they end up, being treated like shuttle cocks with endless promises and being asked to come tomorrow.”

After the short cabinet meeting, in the absence of their cars, several Ministers had to walk home! And one Minister, who had explained that he had an important engagement in Europe in a few days time had been told firmly to cancel it.

There followed two days of intense speculation in Dar es Salaam. According to ‘Africa Events’ there was much enthusiasm by the populace and a belief that something was, at last, about to be done about the rampant corruption. But when, two days later, President Mwinuyi announced that he had reappointed Mr Joseph Warioba as Prime Minister, there was profound disappointment. This was not because Mr Warioba was considered to be corrupt but because people thought that this was an opportunity for a clean break with the past and for a new beginning.

SEVEN MINISTERS DROPPED

People had to wait another day before the rest of the new government was announced.

President Mwinyi dropped seven ministers. They were, with their old portfolios in brackets, Messrs Al-Noor Kassum (Energy and Minerals), Aaron Chidua (Health), M. Kimario (Home Affairs), D. Lubuva (Justice), C. Kissanji (Water) and A. Ntagazwa (Lands, Natural Resources and Tourism) plus Mrs G. Mongella (Minister without Portfolio).

The Ministers, Pres1dent Mwinyi stated categorically, were not guilty of corruption; the fact that they had been removed from the government should not be misconstrued either by the public or the individuals themselves. All the seven were “nice, decent, and clean people, but this move is being taken because a lot of evils have been going on in their ministries. It is a question of accountability and nothing else” he said. Such malpractices were widespread throughout the government but they were worst in their ministries.” Actually, they have been let down by their subordinates” he said.

The President likened the plight of the ministers to his own problem in 1976 when he had had to resign as Minister for Home Affairs when forces under his ministry had misbehaved in Shinyanga where a number of people had died. “I never sent them there to misbehave, nor did they consult me about it, but then I was accountable” he said. He had realised how wise his predecessor Mwalimu Nyerere had been when he had advised him in 1985 at the time of the handing over of power to be ‘a little bit harsh’. He intended to be very harsh, he said – Daily News.

THE DEEPER REASONS
‘Africa Events’ in its April 1990 issue endeavoured to work out the deeper reasons behind the dramatic reshuffle. It stated that the CCM Party’s National Executive Committee had had before it at its meeting (February 7-12) the report of the ‘Committee of Enquiry into Corruption’ which had been set up two years earlier. The report had made extremely grim reading. 12 institutions including the Ministries of Health, Home Affairs, Justice and Lands had been highlighted as particularly notorious. Chairman Nyerere was said to have demanded that the ministers responsible should appear before the Central Committee of the Party. The Minister of Justice was said to have immediately submitted his resignation rather than accept what he regarded as undeserved humiliation. Apparently the Prime Minister had done likewise. However. the Minister for Home Affairs had been prepared to face the Central Committee but had indicated that what he would say would embarrass everybody. It was to avoid resignations and embarrassment that the decision to call on all to resign was taken according to ‘Africa Events’.

In a separate article in the same issue ‘Africa Events’ noted that when the cabinet was asked to resign Mwalimu Nyerere was several thousand feet up in the air on his way to Rome. When he had been President, Mwalimu had hardly ever sacked anybody. His loyalty to his colleagues was his weak point. Did he know what was going to happen? Apparently, President Mwinyi had gone to the airport to see Mwalimu off for Rome and immediately on his return to State House, he had assembled his ministers and ‘pulled out his long knife’. Again, according to ‘Africa Events’, those who were at Rome’s airport when Mwalimu arrived were under the impression that he had been taken completely by surprise. President Mwinyi had ‘fired his own volley and what a thunderous bang it has been’. ‘He now stands unquestionably tall despite his short physique. Tanzanians looked on in unconcealed joy. Dar es Salaam will never be the same again’ the article concluded.

NEW CABINET

The new cabinet has 24 members of whom four are new as is also one deputy minister. The cabinet is as follows:

Prime Minister and First Vice-President: Joseph Warioba
Foreign Affairs: Benjamin Mkapa
Energy, Minerals and Water: Jakaya M. Kikwete (new);
Health: Charles Kabeho (new)
Home Affairs: Nalaila Kiula (new)
Industries and Trade: C. Msuya (formerly Minister of Finance)
Communications and Works: P. Ng’wandu (formerly Industries and Trade)
Finance: S. Kibona (formerly Communications and Works)
Local Government, Community Development, Cooperatives and Marketing: Anna Abdallah (formerly Capital Development)
Minister of State, President’s Office (Special Duties concerned with following up government directives): Paul Bomani (formerly Local Government, Community Development, Cooperatives and Marketing)
Minister of State, Presidents Office (Planning): Kighoma Malima
Minister of State Presidents Office (Civil Service) Fatma Said Ali
Minister of State, Presidents Office (Defence): Jackson Makweta
Minister of State, Prime Ministers Office: (Regional Administration): Charles Kileo
Minister of State, Prime Ministers Office: Anna Makinda (Coordination)
Minister of State, Second Vice-Presidents Office: Mohamed Seif Khatibu
Minister Without Portfolio: Rashidi Kawawa
Minister of State, Finance: Amina Salum Ali
Agriculture and Livestock Development: Stephen Wassira
Education: Amran Mayagila
Lands, Natural Resources and Tourism: Marcel Komanya
Labour, Culture and Social Welfare: Joseph Rwegasira
Information and Broadcasting: Ahmed Hassan Diria
Minister of State, Local Government, Community Development, Cooperatives and Marketing: Mateo Qaresi
The Ministry of Justice has been abolished but the Minister, Hr Damian Lubuva, retains his post of Attorney-General.
Deputy Ministers remain the same except for Mr Rajabo 0 Mbana, the MP for Kigoma Rural, who becomes Deputy Minister for Lands, Natural Resources and Tourism and Mr Evarist Mwananso who moves from the Ministry of Lands to the Ministry of Agriculture and Livestock Development.

The President stated that, although people wanted to see change, it would not have been proper to bring in a completely new team with only four months to go before Parliament is dissolved and fresh elections are held in October. If he had done so, the new ministers would still be finding their way around when elections were due.

“I WANT TO SEE RESULTS”

The major tasks of the new cabinet would be to fight corruption vigorously, cut costs and supervise work and I want to see results said President Mwinyi. People must be given loans under laid down procedures. On cost cutting he said that he had already instructed ministers to reduce unnecessary foreign trips and cut down the number of seminars unless they were budgeted for or financed by foreign donors. He was also drastically cutting down diplomatic personnel in foreign missions. Except in a few cases, only a Head of Mission, his immediate assistant and one supporting officer would be posted abroad. In future all ministers must be accountable he said. Supervision at work was a must. Official transport must not be seen to be wandering about after 2.30 pm.

President Mwinyi also announced that he would be holding monthly meetings directly with the people. At his first meeting, for which some 600 people registered, and which was held at the Lumumba Party Sub-Head Office in Dar es Salaam, he sat for eight hours listening to complaints centred on unresolved land issues, delays in court cases and the denial of terminal benefits. He immediately ordered the arrest of two Land Officers who were subsequently charged in court with three counts of soliciting and receiving a 280,000/bribe. Other anti-corruption activity on subsequent days included the suspension of Judge Moses J Mwakibete for allegedly receiving a bribe (two of the judges charged with examining the case would come from outside the country), the transfer of the Commissioner and Deputy Commissioner of Customs to other duties and various other minor court cases.

In Zanzibar, after President Wakil had met 14 more people out of 300 with complaints, he summoned officials from two ministries, the CCM Party and the Police to comment on the grievances.

Tanzanian Affairs » THE THREE MINUTE CABINET MEETING
 
Kumbe hizi hatua zote za kupambana na rushwa na kubana matumizi si ngeni. Tofauti ni kwamba lugha ya kejeli na kebehi hazikuwepo. Huenda hiki kipengele cha vitisho na ubabe ndio vitakosekana.
Wizara zizotajwa kukithiri ubadhilifu hazijabadilika. Mambo ya ndani, Afya na Sheria.
Migogoro ya ardhi ni ya kihistoria. Lineage ya uongozi bado ipo.
Cha kusikitisha jaji pia alituhumiwa kwa rushwa. Lakini katika yote Mwinyi aliheshimu msingi wa demokrasia. Aliagiza majaji wawili kutoka nje wasikilize kesi ile. Na aliheshimu bunge kwa kuamuru bajeti ifuatwe
 
Weakness ya JP ni kukataa serikali yake kukosolewa na hata waziri au watendaji wengine wanakosolewa hujibu yeye.Na hata muhimili mwingine/bunge kuminywa kutasababisha uwajibikaji mbovu wa watendaji wa serikali. Hivyo hatutarajii baraza la mawaziri kuvunjwa bali kufukuzwa kwa waziri/mawaziri watakaoenda kinyume na matakwa yake.
Ni historia nzuri kwa sie ambao tulikuwa hatufahamu na ni marejeo muhimu kwa viongozi wanaopenda mabadiliko ya kweli na uwajibikaji.
Bila shaka Mzee Mwinyi ataendelea kukumbukwa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa,kijamii na kiuchumi.
Mungu amjaalie afya njema.
 
The keyword here is accountability,haiwezekani wizara ikawa na madudu alafu wanaowajibishwa ni watendaji wachini ilhali waziri,naibu na katibu wanaachwa.
 
Watu wema still wapo ila wachache, na inashangaza wanapogeuka wapiga zumari kwa wasio na hiyana!
 
Asante sana kwa kumbukumbu nzuri. Nalikumbuka sana hili gazeti, bahati mbaya sikutunza nakala yangu. Wakati huo nilikuwa mwalimu pale Moshi mjini na nilikuwa na desturi ya kununua magazeti pale posta.
Hiyo cabinet mpya ilidumu hadi October 1990 ulipofanyika uchaguzi mkuu mwingine, enzi hizo kura ya urais bado ilikuwa ya 'Ndiyo' au 'Hapana'. Mbunge wa Moshi mjini wakati huo Brig Gen Muhiddin Kimario alishindwa na kijana mdogo wa chuo cha Mzumbe kwa msaada mkubwa wa mtandao ulioitwa wakati ule MUWATA (Muungano wa Wanavyuo Tanzania, hii ndio ilikuwa serikali ya wanafunzi kwenye vyuo vyote nchini). Kijana huyo John Peter Mwanga alidumu kwenye ubunge kwa muhula mmoja tu, akasombwa na kimbunga cha NCCR ya Mrema 1995.
Baada ya uchaguzi wa 1990 Dr John Samuel Malecela aliteuliwa kuwa waziri mkuu lakini changamoto za rushwa ziliendelea, au naweza kusema zilizidi, hasa katika sekta ya ardhi na maliasili. Mtakumbuka kipindi hicho ndipo ilipotokea ile kashfa ya Loliondo ambayo marehemu Stan Katabaro aliiripoti sana kwenye gazeti lake la Mfanyakazi. Baadaye watu wakapiga hela kwenye mkutano wa masuala ya Mazingira kule Brazil, Mfanyakazi likaripoti, Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Ahmed Hassan Diria (marehemu) akakanusha kesho yake, lakini siku iliyofuata Mfanyakazi likaweka front page nakala za barua na baadhi ya hati za malipo zilizotumika, ukimya ukatawala!

Kwa ujumla tumetoka mbali sana kuhusu haya mambo ya rushwa. Yapo mengi ya kujifunza kutoka kwenye historia hiyo ambayo yakitumiwa vizuri tutasonga mbele kimafanikio.
 
Kumbe hizi hatua zote za kupambana na rushwa na kubana matumizi si ngeni. Tofauti ni kwamba lugha ya kejeli na kebehi hazikuwepo. Huenda hiki kipengele cha vitisho na ubabe ndio vitakosekana.
Wizara zizotajwa kukithiri ubadhilifu hazijabadilika. Mambo ya ndani, Afya na Sheria.
Migogoro ya ardhi ni ya kihistoria. Lineage ya uongozi bado ipo.
Cha kusikitisha jaji pia alituhumiwa kwa rushwa. Lakini katika yote Mwinyi aliheshimu msingi wa demokrasia. Aliagiza majaji wawili kutoka nje wasikilize kesi ile. Na aliheshimu bunge kwa kuamuru bajeti ifuatwe
Tushawahi kusema hapa kwamba haya ya JPM yashafanywa huko nyuma... tofauti kubwa ni kwamba wenzake walikuwa wanafanya kimya kimya na yeye anafanya kwa mayowe... hata akimtimua kazi DC basi dunia mzima itafahamu!!!

Ile kashikashi ya JPM bandarini na TRA ilifanywa sana na Mkapa... lakini ilikuwa kimyakimya bila mayowe!! Tuliokulia kota za bandari ndio tulifahamu kwamba hali huko si shwari!

Nakumbuka enzi hizo wafanyakazi wa bandari walikuwa hawajui kabisa bei za vitu...!! Kama si tabia za kiafrika; ingekuwa kwamba ukihama nyumba moja kwenda nyumba nyingine ya bandari, ndani unakuta vitu kadhaa!!

Mkapa alipoingia ndipo akapiga chini huo hayo mambo ingawaje bado hadi leo baadhi ya maofisa wanapata hizo privileges hususani kwa furnitures.

Hili la wafanyakazi hewa ilikuwa ni kwenye zabuni hewa... mambo yalikuwa kimyakimya!!!

Hili la kupambana na ufisadi, Mwinyi aliingia na gia za Fagio la Chuma Mkapa akaja na gia za Tume ya Kuchunguza Mianya ya Rushwa maarufu kama Tume ya Jaji Warioba!

Unfortunately, serikali zote mbili zikageuka kuwa very corrupt!!!
 
Hakuna kipya chini ya jua, watu washawakimbiza mafisadi na wapiga dili huko zamani sana, natamani wa sasa atuwekee mifumo ili idumu hata baada ya kuondoka kwake!
 
Mleta mada, hii mada haijachangiwa sana kwa sababu Lugha ya malkia ni tatizo kwa watu wengi, hebu iambatanishe hii thread na tafsiri, ni mada nzuri sana
 
Najua hii imetafutwa kwa ajiri ya Prof Muhongo. Sina hakika kama mtaweza safari hii.
 
Muulizeni Mrema atawambia Mwinyi ni MTU wa namna gani, wote wale wale
 
Mwinyi aliyafanya haya kwa shinikizo la JK Nyerere.. Ambae alikua mkosoaji mkuu wa serikali yake
 
Back
Top Bottom